BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Prince Phillip wazazi wake mmoja alikuwa ni mgiriki na mwingine mdanish.
Ilimchukua muda sana Malkia kukubali Charles kumoa Camilla na aliporuhusu hili ni moja ya sharti alilopewa.