Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99

Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99

Prince Harry atahudhuria mazishi? Is their a possibility to patch their differences with his Dad Prince Charles and Brother Prince William during this sad event in their family? Let’s wait and see.
Akihudhuria atakua amejikaza sana.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sasa nawaza Meghan na mumewe wakihudhuria hata sijui watawatazamaje [emoji848][emoji848] just curious. Na wasipohudhuria haitaleta picha nzuri , yule ni babu yao
Ngoja tuone itakavyokuwa..namuonea huruma Harry kwa kweli.
 
Possibility kubwa atahudhuria mkewe due date yake bado miezi michache labda kati June na August.
Aende tu pengine akijishusha watamfikiria kumrudishia japo mshahara.
 
Amefariki Dunia leo asubuhi katika makazi ya kifalme
(Windsor Castle) akiwa na umri wa miaka 99.
 
[emoji3]maisha ya mwanadamu ni miaka 70 ukiwa na nguvu ni miaka 80, baada ya hapo unaishi bonus ya 10 ukizidisha unaishi miaka ya ubatili

HII YA MAKUMI SABA ILIKUWA ENZI YA TEKINOLOJIA DUNI!! SIKU HIZI KWA MSAADA WA TEKINOLOJIA BINADAMU WENGI WANADUNDA 90 HADI 100+ !!!
 
Back
Top Bottom