Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99

we yohana mzee wa ubuyu ulikuwa na majonzi ya mwenda zake now ndo umejua
 
Hivi Camila alikukosea nini Swahiba?

Camilla ndio Queen consort, tunasubiri tangazo la kifo cha Queen Elizabeth tu.
Yamebadilika tu baada ya mama kumuona mtoto wake amependa lakini mwanzo ilkua hivyo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…