Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.
==========================
Ms Tsehai’s husband, David, said following his wife’s release: “This has been the worst ordeal of my life. I did not know whether she was alive or dead.”
“She is a fierce critic of Samia Suluhu’s government so there is no doubt that this government and the thugs in her security service and police are behind this,” Mr Tsehai told Citizen TV.
He said he and Maria have been living in Nairobi after fleeing Kenya’s southern neighbour during the regime of Suluhu’s authoritarian predecessor John Magufuli, who issued an arrest warrant against the activist.
Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na wahuni waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.
Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na wahuni waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.
Tatizo la sasa Mama Samia ni kama vile hana nguvu na kuna kihere here wengi sana usalama na wanapanga vitu inawezekana bila kutumwa. Sasa Mama akisikokuwa makini na hizi teka teka kuna wananchi wanaweza kulipiza visasi kwa hao ndugu wa wanasiasa .
Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na wahuni waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.
Madictator wa Africa mashariki wanaanza kushirikiana na Ruto ili wakenya nao wakitaka kumuondowa ruto madictar wote wa EA wamsaidie kubaki madarakani. Wakenya kuweni makini na Ruto . Ruto ni mwanafuzi wa Moi.
Habeshi, ndio.
Ukiona mtu ananyooshea mwingine kidole bila ushahidi ni mjing. Nairobi imeshuhudia abductions nyingi sana na nyingi seem kuwa ni politically motivated. Inawezekana hawapati attention ya kutosha ndio maana wakaona wamteke hako kashankupe. Kuna possibilities nyingi sana na mwenye akili timamu hawezi amka na kutuhumu bila ushahidi.
Madictator wa Africa mashariki wanaanza kushirikiana na Ruto ili wakenya nao wakitaka kumuondowa ruto madictar wote wa EA wamsaidie kubaki madarakani. Wakenya kuweni makini na Ruto . Ruto ni mwanafuzi wa Moi.
Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na wahuni waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.
Hapa moja kwa moja Rais Samia na mwanawe shoga Abdul wanahusikak na huu mchezo, nashauari jeshi letu limkamate Abdul na mama yake kwa kuichafua nchi yetu.