M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Hebu weka link kuhusu hizo tuhuma. All in all mume wa muhusika ndiyo wa kumuaminika zaidi kwa kuwa si mwanasiasa, wanasiasa hupima faida za kauli wazitoazo bila kujali kama ni uongo au ni ukweli. Never trust a politicianMbona Team Lisu walisema ni Mbowe ndiye alimteka, sasa tuamini lipi?
Wewe vipi hapo ulipo, ni mwanamke, jike dume, mwanaume au transgender?Huyo munewe ni mwanamme au nwanamke mwenzie?
Haha wewe .Hapa moja kwa moja Rais Samia na mwanawe shoga Abdul wanahusikak na huu mchezo, nashauari jeshi letu limkamate Abdul na mama yake kwa kuichafua nchi yetu.
Let them be . We have no control on thatKufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.
==========================
Ms Tsehai’s husband, David, said following his wife’s release: “This has been the worst ordeal of my life. I did not know whether she was alive or dead.”
“She is a fierce critic of Samia Suluhu’s government so there is no doubt that this government and the thugs in her security service and police are behind this,” Mr Tsehai told Citizen TV.
He said he and Maria have been living in Nairobi after fleeing Kenya’s southern neighbour during the regime of Suluhu’s authoritarian predecessor John Magufuli, who issued an arrest warrant against the activist.
movie za kujiteka halafu eti unasingizia sijui
Za kuambiwa changanya na zako in Kikwete's voice.Mbona Team Lisu walisema ni Mbowe ndiye alimteka, sasa tuamini lipi?
Namba za usajili wa gari zimepatikana au badoBasi likijaribu kuizuia Noah nyeusi iliyotumika kumteka Maria Sarungi
View attachment 3200438
Ni utekaji wa maigizoKufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake, televisheni ya Citizen huko Kenya ilifanya mahojiano mafupi na mume wa mwanaharakati huyo.
Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
Kasema hana shaka kabisa kuwa ni nani kahusika na tukio hilo, ingawa hakutoa ushahidi wowote ule.
==========================
Ms Tsehai’s husband, David, said following his wife’s release: “This has been the worst ordeal of my life. I did not know whether she was alive or dead.”
“She is a fierce critic of Samia Suluhu’s government so there is no doubt that this government and the thugs in her security service and police are behind this,” Mr Tsehai told Citizen TV.
He said he and Maria have been living in Nairobi after fleeing Kenya’s southern neighbour during the regime of Suluhu’s authoritarian predecessor John Magufuli, who issued an arrest warrant against the activist.
Ndivyo Lisu kasema.Mbowe na serikali sasa ni kitu kimoja
Lakini Team Lisu wanasema Ben saanane alipopotea aulizwe Mbowe, na wapo wanaosema Mbowe alishirikiana na Serikali kumpoteza Ben.Walisema hata Ben Saanane alitekwa na Magufuli kisha akapelekwa ikulu. Magufuli akampiga risasi Ben Saanane na kumuua kisha akaagiza maiti yake ikatupwe mto ruvu.
Sijui tumuamini nani?
Team Lisu kila kitu Mbowe anahusika, hata mvua za Masika yumo.Hata Ben Saanane naye walisema amepigwa risasi na Magufuli. Sijui tuamini lipi?
We nae na komwe lako una hakika ni watu wa serikali?Tatizo la sasa Mama Samia ni kama vile hana nguvu na kuna kihere here wengi sana usalama na wanapanga vitu inawezekana bila kutumwa. Sasa Mama akisikokuwa makini na hizi teka teka kuna wananchi wanaweza kulipiza visasi kwa hao ndugu wa wanasiasa .
Thugs -kikundi cha wauwaji na wanyang'anyiBwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na wahuni waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
... na isijekuwa yeye na watekaji lao moja dhidi ya MLALAMIKAJI!Niliposikia katekwa, fikra chafu chafu zikaanza kunijia kichwani. Na sijui hata ni kwa nini 🤣.
I hope they didn’t violate her.
Tumia 1% ya akili zako.Mbona Team Lisu walisema ni Mbowe ndiye alimteka, sasa tuamini lipi?
Hapo ulipoandika kutekwa kwenye mabano ‘’ ndio penyewe😎Kufuatia ‘kutekwa’ kwa mwanaharakati María Sarungi huko Nairobi, Kenya, na baadaye kupatikana kwake,..
Anafanya kazi gani??Bwana Tsehai kaituhumu moja kwa moja serikali ya Rais Samia pamoja na wahuni waliopo kwenye vyombo vyake vya dola/ usalama.
Hana cha uwanaharakati wowote kumbe Biashara ya mume wake ilipigwa pini na Mwamba MagufuliMwanaharakati machachali Maria hayumbishwi