Mume wa Maunda Zoro ni mfano wa Wanaume wa hovyo wa Dar es Salaam

Hakutakiwa awe wa kwanza lakini kuendelea kukaa nyumbani hadi Asubuhi kisa mama kamuambia asitoke ni Uzoba
 
Poleni wote mlioguswa na msiba huu...ila kumtumia lawama mumewe ni kumuonea, kwa jinsi comments zinavyokwenda mume pia amevumilia mengi,kumtwisha zigo la lawama ni kumuonea
Una mume?
 
Hakuna ubaya wowote kwenye maelezo yake. Ni mtazamo wako tu
 
Ndoa ina siri kubwa nyie acheni! Kuna ndoa inafikia adi mtu anamuombea mwenzie kifo haijalishi mmezaa wala nn
 
Khaaa jamani usimuombee mwenzio ivo, je ulimuoa ukijua kuwa ni malaya? Izo tabia alikuwa nazo ama zimejitokeza baada ya kukutana na visa kadhaa toka kwako?
Anaweza kuwa malaya sikujua nimejulia ndoani au hakuwa akajifunza ,tofauti iko wap??
 
Kama unaamini hauko obliged kwa matukio ya familia yako then let it be, unapigiwa simu mkeo/mwanao/mzazi wako yuko kwenye ajali nawe badala ya kuchukua jukumu la kwenda eti unapigia watu wengine waende nawe unalala nakupata usingizi probably na ndoto unaota kabisa.
Anyway, binadamu tunatofautiana jinsi tunavyo-react katika emergencies za familia zetu.
 
... badala ya kuchukua jukumu la kwenda eti unapigia watu wengine waende nawe unalala nakupata usingizi probably na ndoto unaota kabisa.
Hapo kwenye 'probably' ndio umbea wenyewe, maana unakuta mtu hana uhakika lakini anapublish
 
Hapo kwenye 'probably' ndio umbea wenyewe, maana unakuta mtu hana uhakika lakini anapublish
Kama hauelewi maana ya 'probably' uliza, kama alilala na akasinzia akaamshwa asubuhi na shemeji yake(sick!) basi alivyokuwa amelala usingizi baada ya kupewa taarifa ya ajali kuna asilimia fuliani(probable chances) kuwa aliota ndoto kwani kuota ndoto ukiwa usingizini si kitu cha kushangaza bali kitu cha kushangaza ni uwezo wa kulala na kusinzia baada ya kupata taarifa(habari) za ajali ya mkewe.
 
Huu msemo wa kamzalisha mwanamke ni wa ajabu! Mwanamke anaamua kuzaa mwenyewe siyo kama mnyama asiye na maamuzi. Kila tatizo la wanawake lawama kwa wanaume.
 
Hebu acheni lawama, maunda kafariki on the spot sababu ya kubanwa na vyuma, na si ajabu alijigonga kichwa. Mashuhida wa ajali wanasema wakati anafika mtu wa kwanza tayari maunda alikuwa keshakufa. Kwa vyovyote vile mumewe asingeweza kumfufua wala kumponesha, na kwa vile ni ajali ni police case lazima wajulishwe so mumewe alifanya wajibu wake vizuri but ni mpango wa mungu amunda afe kwa ajali so msilaumu
 
Hamna anayelaumu,na wala hakuna aliyesema kutokwenda kwake ndo kumesababisha Maunda afe.
Kinachoongekewa hapa ni kitendo cha mtu kupewa news km hizo za mtu anayekuhusu na unaishi naye nyumba moja then usichukue initiative ya kwenda.Maana hata km mtu ameshafariki si kuna process zingine ikiwemo kuhakiki hilo unaloambiwa??Sasa km kwenda eneo la tukio haikuwa muhimu Banana alitoka nyumbani kwake usiku baada ya kupata taarifa ili iweje??
regardless mahusiano yao yalivyokuwa..Haijalishi!
ila yule ni mama wa watoto wake.
Again simjudge labda ana sababu ila sio kawaida
 
Sasa ngoja ufundishwe. Ukipigiwa simu kwamba nyumba yako inaungua, hapo hapo piga simu simu Fire & Rescue, usianze kwanza kuhangaikia usafiri wa kwenda kwenye tukio
 
Aise tunateseka san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…