Mume wa mtu ananitaka

Mume wa mtu ananitaka

Nimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .

Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .

Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .

Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .

Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .

Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
Una type kiswahili kama watu wa mbangala lol
 
Sema mpwa wewe mkorofi sana. Yani Us la kipekee linakuletea habari yake nzuri wewe unasema hujaelewa? 😅😅😅

Au unakwepa kadi za michango ya harusi? 😅
aisee🤦‍♀️🤦‍♀️, nimekua na kichwa kizito kweli sikuizi mjomba
 
Back
Top Bottom