Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Ukorofi huo. Mbona kichwa cha habari kinajieleza 😅aisee😳😳😳 aliyeelewa anieleweshe 🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukorofi huo. Mbona kichwa cha habari kinajieleza 😅aisee😳😳😳 aliyeelewa anieleweshe 🤣🤣🤣🤣
so sad😔, ila tumchukulie tu kama alivyo anapitia wakati mgumu hatuwezi kujua😅Yani nimekuwa kama comment namba 17, ila nimeshindwa tu kuandika 😅
kusema ukweli ukiachana na kichwa cha habari amna kingne nimeelewa 🤨🤨Ukorofi huo. Mbona kichwa cha habari kinajieleza 😅
Ila mbona naona Yuko sawa tu. Pengine ana furaha sana, hivyo anashindwa kujizuiaso sad😔, ila tumchukulie tu kama alivyo anapitia wakati mgumu hatuwezi kujua😅
Hata pale alipomwambia mume wa mtu amsubirie na yeye aolewe ili wawe pair, hujapaelewa? 😅😅😅kusema ukweli ukiachana na kichwa cha habari amna kingne nimeelewa 🤨🤨
😂😂😂😂😂 labdaIla mbona naona Yuko sawa tu. Pengine ana furaha sana, hivyo anashindwa kujizuia
wewe ndo umenielewesha sasaHata pale alipomwambia mume wa mtu amsubirie na yeye aolewe ili wawe pair, hujapaelewa? 😅😅😅
Una type kiswahili kama watu wa mbangala lolNimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .
Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .
Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .
Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .
Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .
Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
Sema mpwa wewe mkorofi sana. Yani Us la kipekee linakuletea habari yake nzuri wewe unasema hujaelewa? 😅😅😅wewe ndo umenielewesha sasa
😅😅😅😂😂😂😂😂 labda
aisee🤦♀️🤦♀️, nimekua na kichwa kizito kweli sikuizi mjombaSema mpwa wewe mkorofi sana. Yani Us la kipekee linakuletea habari yake nzuri wewe unasema hujaelewa? 😅😅😅
Au unakwepa kadi za michango ya harusi? 😅
Hivi inawezekanaje mtu anaandika kiswahili alafu haeleweki kabisaa...
How!!??
Nikajua ni mie peke yangu ambaye sijaelewa kumbe tupo wengi 😂aisee😳😳😳 aliyeelewa anieleweshe 🤣🤣🤣🤣
lakini kichwa cha habari si umekielewa😊Nikajua ni mie peke yangu ambaye sijaelewa kumbe tupo wengi 😂
Jina lake ni unique flower, unahisi ua linaloongelewa hapo ni lipi?Najua kuna member umu ambae tayar Unique Flower kamtunuku mbususu .....njoo utupe mrejesho kama mbususu ya uyu dada ni tamu