Mume wa mtu ananitaka

Mume wa mtu ananitaka

Nimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .

Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .

Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .

Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .

Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .

Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
Mpe tu ,kumbuka kitaoza tu siku moja
 
Nimecheka sana na hii comment
Lovie Lady uje ututafsirie
Mrs Lissu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akiiiii nimecheka mpaka imenibidi nikae chini kwanza

Sasa mbona ww ndio Mtaalaam wangu nakuaminia hapa Jukwaani ukishindwa ww me natoka patupu🤣🤣🤣👋
 
Nimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .

Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .

Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .

Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .

Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .

Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
Samahani mimi sijakuelewa ulicho andika
Labda kama kuna lugha nyingine unaijua kuliko kiswahili uandike tena....
 
Back
Top Bottom