Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Nimecheka sana na hii commentHivi inawezekanaje mtu anaandika kiswahili alafu haeleweki kabisaa...
How!!??
Lovie Lady uje ututafsirie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana na hii commentHivi inawezekanaje mtu anaandika kiswahili alafu haeleweki kabisaa...
How!!??
Mpe tu ,kumbuka kitaoza tu siku mojaNimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .
Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .
Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .
Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .
Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .
Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
Aolewe tu kwakweli nafsi yake isawajikeUpate mwanaume utulie nae nyuzi kama hizi hatutoziona.
Utamchangia kwenye harusi yake? 😅😅Aolewe tu kwakweli nafsi yake isawajike
😅😅😅Upate mwanaume utulie nae nyuzi kama hizi hatutoziona.
Mrs Lissu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akiiiii nimecheka mpaka imenibidi nikae chini kwanzaNimecheka sana na hii comment
Lovie Lady uje ututafsirie
Samahani mimi sijakuelewa ulicho andikaNimetoka tu nje ya geiti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi Kwa fulani , gari Kali nyie ananukia .
Eti dada samahani eti Kwa Fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize anakataa nikamwambia haya siku njema akadai naomba uje naomba unipe namba yako tafadhali nikikwama nikutafute .
Nikampa ili asinione mubaya basi nikaondoka ili kwenda tu hivi kadakika kamojaa akadai wewe mama ndio namba yangu mpenzi nikasema tena hii Kali .
Nikamuuliza tokea lini sisi wapenzi akadai tokea unipe namba mmh nikasema nimeposwa sitaki shari akasema hata Mimi nimeoa basi nikamwambia subiri niolewe . Tuwe pair akagoma akasema chasiri kizuri nikagoma bwana nampenda chotara sana .
Ni handsome na hajaoa nataka kutulia na huyu wa jf kanahela hakakazungu, kanapenda na mpenda humu jf yupo nanikweli .
Mtoa mada mmoja amedai tunatoa mada za kipuuzi sikuhizi hata chooni tu nikienda nasema sitawaliwi kuishi hii nchi sio yamarekani ni yetu
Nitaandika kipareeeSamahani mimi sijakuelewa ulicho andika
Labda kama kuna lugha nyingine unaijua kuliko kiswahili uandike tena....
Mchimba kaburi huingia mwenyewe nadhani umenielewa mpaka hapoHuyu binti/kijana yupo hatua chache sana kufikia kuwa fully fledged nutcase wa kuokota makopo na kuvaa matambara.
Aku utajijua kinakuuma mie humu yupo ila shida hajui kusoma kiswahili vizuri bwana Sasa ukijua kuwa unashida niangalia balance ya account yakoHuyu Unique Flower amegeuza JF jukwaa la kutafutia wanaume wa kuzama kwenye hilo bwawa lake lenye matope?
Nimeishi huko ☺️ huko bible school vugaUna type kiswahili kama watu wa mbangala lol
Aseme tu ntachanga...dah🙌Utamchangia kwenye harusi yake? 😅😅