Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Ndio hivyo na michepuko imetoboa kupitia hao Waume za watu ..
Ila haya maisha haya 🙌
Na ishakua kitu Cha kawaida sn kwenye jamii
Mimi nachepuka, na nishacheluka na Wanawake mamiaa, ila sitokaa kuoa mchepuko .

Nimezaa nje, na sahizi watatu wana mimba.
 
Aisee hao wanawake Wana moyo , wanajua kuwa we ni mume wa mtu au wanazaa tu? Na kwann unazaa nje ya ndoa ? Unakosa nn Kwa mkeo ? Mkeo hawezi kukuzalia ? Shida nn?
 
Wanazaa namm walikua .

Kwan kikubwa ni kuwatunza au ?.

Achana na maswala ya nakosa nn Kwa Mke wangu

Nina booooonhe la Mwanamke.

Kwan Uzi unahisi nn??
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe.

Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
Polee
 
Sisi tunajengea watu majumba na kuwanunulia magari, pole kama amekuumiza!
 
Back
Top Bottom