Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Umeshasema mume wa mtu..................sasa unahaja ya kuendelea na hoja nyingine kweli?
 
Sio sawa cariha, Kuna watoto kule ujue cariha, kama ukitongozwa tu basi kataa
Huyo Hana future na wewe why kumhurumia kumbuka anakutia nuksi na laaza za mkewe ujue
 
Huyo Hana future na wewe why kumhurumia kumbuka anakutia nuksi na laaza za mkewe ujue
Siku zote mume wa mtu Hana future na mchepuko basi usiumize na wasiokuwemo, ñdio maana laana huja
 
Nikitembea na mume wa mtu nitakufa kwa wivu.
I want my own man.
Hata akichepuka ila mim ndo niwe main.
 
Siku zote mume wa mtu Hana future na mchepuko basi usiumize na wasiokuwemo, ñdio maana laana huja
Laana itampata asiye heshimu ndoa yake na pia kupotezea wengine mda
 
Nikitembea na mume wa mtu nitakufa kwa wivu.
I want my own man.
Hata akichepuka ila mim ndo niwe main.
Huwezi kumpata.. atakufanya main cha ajabu anaye main mwingine ndo utachoka, wewe songa na aliyepo hata kama ni mme wa mtu kama Injili.
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Njo Kwangu papatu papatu .
 
Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaongoza kwa wivu
Mwanaume lazima awe na wivu sababu yeye kaingia gharama kumiliki iwe mke au mchepuko, siku hizi mahari zinafika zaidi ya milioni 5 na michepuko nayo inatugharimu pesa kibao, halafu kiasili iko hivyo hata kwa wanyama huwa madume yana ugomvi kugombea majike.​
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
kwani mapenzi ya kweli ni nini ?tuanzie hapo.
 
Nikitembea na mume wa mtu nitakufa kwa wivu.
I want my own man.
Hata akichepuka ila mim ndo niwe main.
Wanawake mnakuwaga wabinafsi sana, hata kwa waislamu ambapo inaruhusiwa kuoa wake hadi wanne huwaga ni shughuli pevu aliyetangulia kukubali mwanaume aongeze mke.
 
Wanawake mnakuwaga wabinafsi sana, hata kwa waislamu ambapo inaruhusiwa kuoa wake hadi wanne huwaga ni shughuli pevu aliyetangulia kukubali mwanaume aongeze mke.
Si nimesema.ruksa kuchepuka.ila nisijue nitamuua mchepuko wake😂😂
 
Back
Top Bottom