Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Oooh utakuta kuna mwamba analoweka hapa bila kinyaa.
Mungu atupe pole wanaume
 
Hivi ni kwanini mwanamke akisikia au ukijua wewe ni mume wa mtu anakata tamaa ani
 
Kwa Niaba ya sisi waume za watu tunaochepuka.

Sisi ni kweli hatuwezi Kuoa Wanawake wa pembeni.

Ila tunaweza kuzaa nao, tukawahudumia, tukasomesha watoto Wetu .

Lkn kubwa zaidi, sisi tunakuaga Washikaji, marafiki wazuri katika shida na rahaa
😅😅
 
A

Aka sitaki mume wa mtu mbona
Kwani huwaga wanasema wanataka?

Vishawishi na pesa ndiyo huwafanya muingie kingi hata kama hampendi.

Hata wewe mkuu nikikufuatilia hata ukiwa mgumu kwa mbinu ya kujifirisi mbona nakupata kiurahisi sana usivyotarajia?

Enhe, usipobahatika kuolewa na umri wako umeyoyoma, kuna ubaya gani kuzaa na mume wa mtu?

Haya, je ni halali ama kuna unafuu wowote kuzaa na mwanaume single asiye na mpango wowote wa kukuoa?
 
Oooh utakuta kuna mwamba analoweka hapa bila kinyaa.
Mungu atupe pole wanaume
Awape pole kivipi wakati mnaowaharibu hao wanawake ni ninyi wenyewe kwani huwa wanafanya na viumbe kutoka sayari nyingine, huyu Mungu siyo ya wanaume tu na muache kumsumbua kwa ujinga wenu ana kazi nyingi za kufanya, Karma is real and you get served what you deserve
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Kulikoni Tena?
20230206_204546.jpg
 
Awape pole kivipi wakati mnaowaharibu hao wanawake ni ninyi wenyewe kwani huwa wanafanya na viumbe kutoka sayari nyingine, huyu Mungu siyo ya wanaume tu na muache kumsumbua kwa ujinga wenu ana kazi nyingi za kufanya, Karma is real and you get served what you deserve
Hivi huwa tuna baka?
Mnajilengesha tunamalizia bola hiyana
 
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Ungeandika kuwa uzi wako ni wa kukekike
 
Back
Top Bottom