Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli alitakalo likitimia hana muda na wewe usilogwe kumpenda mume wa mtu mwisho wa siku atakuacha peke yako bora kupambana na hawa papatu papatu
Ushajuwa kuwa ni mume wa mtu unajiingiza kwenye mapenzi naye ili iweje? Matatizo mengine nyie wanawake mnajitakia wenyewe kupenda kusiopendeka mwisho wa siku mnakuwa kama Kajala na mwanaye mnashea mboo na wanenu.
 
Tulia hapa hapa
Kuna jambo muhimu nikwambie, hapa macho mengi. Hawajui hizi mambo. BTW, unatumia vigezo gani kujua mwanaume aliyekutokea ni mume wa mtu? Au ndio mpaka mshamalizana kila kitu ndio unajua.. Maana sio wote wanapenda kutanguliza status za ndoa mbele kabla ya utamu.
 
Kila mtu ni wa mtu. Iko hivi:

Mume wa mtu ni mtoto wa mtu, ni kaka yake mtu, ni mdogo wake mtu, ni binamu yake mtu, ni mjomba wake mtu, ni boss wake mtu, ni mfanyakazi wa mtu, na mwisho ni mchepuko wa mtu.

You see, its magical
 
Back
Top Bottom