cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Jukwaa la Habari na Hoja mchanganyikoNyuzi zako kila siku ni hizihizi, nini mbaya..?
Hahaha Muulize kwanza Jinsia yakeNyuzi zako kila siku ni hizihizi, nini mbaya..?
Niwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaacha kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena picha za uchi jamani nimepanga ni google nim
Zikivujishwa usije kutafuta sumu au kamba ya kujinyonga,. Maana umeshakiri mume wa mtu ni sumu akini badoNiwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaacha kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena picha za uchi jamani nimepanga ni google nimtumie.
For realNdo maana mnarogwa
Njoo pm nina ujumbe wako muhimu hkuNiwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaacha kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena picha za uchi jamani nimepanga ni google nimtumie.
Niwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaacha kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena picha za uchi jamani nimepanga ni google nimtumie.
🙆Ndo maana mnarogwa
Si tulikuabliana kwamba hakuna uchawi haoa JF????For real
Jirani nimekuona ndio nimekumbuka ile issue mweh nisamehe 🙆♀️Ngoja urogwe ndio akili itakukaa sawa