Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Hii itasaidia hata kujua wanandoa wengine kwamba kumbe yakifanyika haya kwenye nyumba kuna uwezekano wa kumsahau mwenzangu segerea na mbaya mimi ndie nitapata shida ya kupeleka chakula kila jumapili

nimesoma hiyo gazeti ni maoni yangu tu kufwatana na gazeti hilo hapo chini

tuzidi kuwaombea mungu awapitishe kwenye hili jaribu na sikukaa kishabiki zaidi yeye shemeji

we utakutwa na hgirl sijui utakimbilia wapi
 
Kwani kuna sababu zingine ..yeye si ameoa na pia ana hofu na mungu? kwa nini amebaka mtoto china ya miaka 18?
utasikia shetani aliniingia mmh!
 
Ni kweli huyo ni shetani tu hamna lingine, shetan hapo anafurahi kweli kweli
 
hakuna cha shetani wala nani? kama ni shetani mbona hakubaka mwanae wa kumzaa au mamake mzazi. takataka huyo afungwe kwa ubakaji na kuudhalilisha ukristo.
 
Huyo ni Mtuhumiwa tu.!
Kwani imethibitika kuwa ni kweli kabaka?
Huyo binti kabakwa katika mazingira gani?!Kaombwa akatoa, kalazimishwa?
Alipobakwa mara ya kwanza Sebuleni hakwenda polisi, kasubiri abakwe mara ya pili kwenye gari ndipo akaamua kuripoti polisi.!!
 
Kwani kuna sababu zingine ..yeye si ameoa na pia ana hofu na mungu? kwa nini amebaka mtoto china ya miaka 18?
utasikia shetani aliniingia mmh!

Hahahaa!Siku hizi hawasemi hivyo wanasema 'alianguka',wataungana kumwombea teh!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kubakwa ni kubaya hapo keshamuharibia future binti wa watu physchologicall hayuko sawa.
 
kanisa linaugua ee Mungu ponya kanisa lako liponye Mungu wangu.
 
Hana sababu yoyote ya msingi inayoweza kuhalalisha kitendo chake cha ubakaji!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Huyo ni Mtuhumiwa tu.!
Kwani imethibitika kuwa ni kweli kabaka?
Huyo binti kabakwa katika mazingira gani?!Kaombwa akatoa, kalazimishwa?
Alipobakwa mara ya kwanza Sebuleni hakwenda polisi, kasubiri abakwe mara ya pili kwenye gari ndipo akaamua kuripoti polisi.!!

Inawezekana ule mbako wa sebuleni aliufurahia,ila huo wa kwenye gari handblake ilimuumiza upaja.
 
Back
Top Bottom