Emanuel Mwasote
Member
- Sep 2, 2013
- 45
- 6
tumombee kwa Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile video ya Mrisho ipo jamani,hebu tupieni hapa.
Alibakwa ndo yule wa Ngasa ama mwingine?
Nilitamani awe Shusho ndoa ivunjike niseme naye mpaka kieleweke.....Huyu Mbasha sina mpango nae
Kwani kuna sababu zingine ..yeye si ameoa na pia ana hofu na mungu? kwa nini amebaka mtoto china ya miaka 18?
utasikia shetani aliniingia mmh!
dah "wanamme bhana"nashndwaga kuelewa mwataka mwanamke wa vipi.ndo majogoo yenu yawe matulivu
Huyo ni Mtuhumiwa tu.!
Kwani imethibitika kuwa ni kweli kabaka?
Huyo binti kabakwa katika mazingira gani?!Kaombwa akatoa, kalazimishwa?
Alipobakwa mara ya kwanza Sebuleni hakwenda polisi, kasubiri abakwe mara ya pili kwenye gari ndipo akaamua kuripoti polisi.!!