nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Hilo libakaji ni libwege kabisa warembo wamejaa kila kona ni wa kushika mkono,lenyewe linaenda kubaka mtoto mdogo?manina zake.
Acha kudhalilisha waibaji wewe!!!! Kichwa cha habari tofauti na stori yako!! Acha tabia hii!
Safi sana mwanangu...Aminia.
sababu za kubaka ni tamaa za mume hakuna lolote...........
Ukweli siku Noma utafahamika tu watu na dini(Christians) wanaamini ndoa ya mke mmoja it fine but I tell you having been into marriage for 7+ years wanaume hupatwa na majanga makubwa sana.
1 Mke Hamna stress za kutosha kwa kuna hukua jinsi na Nakuja ushindani.
2 Principally you need a competitiveness to step ngazi Noma na nyingine.
3 Hawa viumbe wanahitaji kumridhisha mwanaume na si kusema kua hakuna kua na mwana mke mwingine halihalisi ktk mda muafaka huwezi kutimiziwa baadhi.
4 Kama unamke wahalali mwingine you change the tag on that particular day.
5 Mafundisho ya kimapokeo yamewapa kiburi sana hawa wanawake wakati hawawezi kutimiza kwa %zote.
6 I suggest polygamy should be allowed so that matamanio ni hisia that's nature we will probably rescue some of these alleged offenders.
Well well! I agree with you dude! Mind you hata wanawake wapo wengi sana ambao waume zao hawawaridhishi 100%!
Hii concept yako itafaa pia kwa upande wao! Ukipiga bao moja la sekunde tatu ukakoroma yeye aswitch kwa the other man like Mandingo atakayepiga mabao 5!
Kubaka ni kubaka tu ! tena mara mbili alikusudia na anachokifanya huyo , Sheria ichukue Mkondo wake hakuna nini wala nini :A S angry:
Heheheeeh...sawa sawa.this should apply both sides tna bra wanawake tunajitahidi.wanaume Wengi majukum hawayawez kabsaa ..polyandry should be legalised aisee manake michepuko Kwa wanawake imekuwa too much uku bongo
Mkuu waibaji ama waimbaji?
Mitazamo kama hii ndio inafanya ubakaji uwe tatizo sugu...mtu akiripoti nongwa; mnataka yaishe kifamilia...hapo bado kejeli za polisi...mweh...ni mpaka mtu ubakiwe mwanao ndio utaelewa utamu unakuwa vipi....
Kuna watoto wengi wanabakwa na wanaamua kukaa kimya kwa sababu jamii haiko upande wao....