nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Na hiyo ndio tabia halisi ya simba wenda pole...kuna mdada mumewe msabato ameshika dini kinoma na ukimwangalia anaangalia chini utasema mtakatifu...kilichotokea alimpa mimba beki tatu...majirani wakabaki wanashangaa!
Yani hawa so called washika dini hawachezi mbali; mashemeji, ma house girl ,...maana wakichepukia mbali si watapishana na wanaowafahamu kwenye ma guest afu iwe nong'wa??
michepuko yao uwa ndani kwa ndani tu ili kutunza siri zao....

Hilo libakaji ni libwege kabisa warembo wamejaa kila kona ni wa kushika mkono,lenyewe linaenda kubaka mtoto mdogo?manina zake.