Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Na mi namuangalia tuu hapa anavyo rukaruka kama mtetea anayetaka kutaga...

Hamjui tu.. Hamjui..! I feel happy kuona group la mijitu iliyokuwa imejipanga kuumeza UZUSHI ule. Real today nimejiona mjinga kiasi Cha kuamini UZUSHI. Nataka kuwahi desktop niupload video Yao nizidi kuipa mioyo Hii uchungu zaidi tukome kufuatilia mambo ya chupini. Mdume mzima unafuatilia mambo ya mwanaume mwenZako Ni kujidhalilisha.. I feel bad sio Wewe tu HATA mie. Watu Hawa Leo wamenipa somo kubwa sana.
 
ndoa hizi bwana...utafikiri trekta mlimani
 
Sasa mbona unajifanya msuluhishi kwenye ndoa za watu? Wewe hii ndoa inakuhusu vipi, au wewe ndio Gwajima?

Kama wewe ni Gwajima kwa nini umemuhamishia mke wa mtu GUEST? Kwa nini ulimpeleka masomini nje bila la ridhaa ya mumewe? Kwa nini ulizunguka naye nchi nzima "kutangaza injili" huku mumewe kabaki home?

Hizi tabia zenu za kutumia hela za Sembe kuwabambikia vijana kesi kwa tamaa zenu za kimwili ili muoe wake zao hata shetani hapendi.
 
TAMKO kama unaleta uongo hapa nitaandamana peke yangu hadi ule ban ya nguvu......hapa si mahali pa kupost utumbo......JF ni chanzo makini cha habari.....
 
Last edited by a moderator:
Naona mdau anajaibu kumsafisha Mbasha. Kwa bahati mbaya anamsafisha kwa maji ya gereji.
Hasafishiki ng'oo!!
 

nengeshangaa sana kama taarifa kama hii isingetoka kipindi hiki
 
TAMKO kama unaleta uongo hapa nitaandamana peke yangu hadi ule ban ya nguvu......hapa si mahali pa kupost utumbo......JF ni chanzo makini cha habari.....
Nani ana shida ya kukudanganya Wewe?! Who are you Hadi mie sisi wote tuliokuwepo tuje hapa kukudanganya ili iweje..!? Watu bana..! Njoo HATA Jumapili ijayo utawakuta bana
 
Last edited by a moderator:
Gwajima si anafufua watu! Tena nabii,kumbe ni mzinifu? Mbasha yuko sawa tu.
 
We TAMKO baada ya kuchwana kule kuwa Gwajima anahusika ndo unakuja kuanzisha uzi huku.....

Gwajima ndo injinia wa kuua ndoa ya Flora....Gwajima ndo alikuwa anamla Flora....

Wanataka kupiga U TURN wapuuzi kabisa hawa. Inaonekana muvi yao haikuwa calculated sasa wanajaribu kuizima wakati wameianzisha wenyewe. Wauza Sembe mna kiburi sana na hizo hela zenu..
 
Last edited by a moderator:

Lete hiyo video na si porojo.....Unaanzisha thread kumbe huna vielelezo kamili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…