masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Mkuu umenena. Mwandishi au mtoa mada sina uhakika kama anachokinena kweli. Anashindwaje kuweka picha za watu wenye furaha ?
mkuuu nikupe serengeti ya baridiiii au ngorongoro???
WEKA PICHA WAKIWA NA FURAHA
ETI UMETOKA KANISANI ALAFU UNADANGANYA
Mkuu,hawa wametumwa kumsafisha huyo shetani Mbasha kwenye mitandao ya kijamii,si unaona hata jina lake,ukitoa M tu unapata Basha,sa kuna nini tena hapo wakati jina tu lishajidhirihisha kuwa mwenye jina ni mtu wa aina gani,sheria ni vema ichukue mkondo wake ili haki itendeke
masai dada, leo unakufa na mtu. Mpaka kieleweke. Katumwa kubadilisha upepo huyo.
haya makanisa ya kiroho nayaangalia kwa macho matatu
Wiki Hili mitandao, magazeti, na majukwaa ya watu wasio na KaZi wanaoishi Kwa kushiba majungu na umbea hasa inshu za Ndani ya nguo, wameshibishwa Bonge la Uongo unaohusiana na mambo ya kubaka hasa wakituhumu mume wa Mwimbaji huyu mashuhuri Flora Mbasha.
Wakiwa wenye Furaha Flora Mbasha na Mumewe wameonekana wakiimba Ndani ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Kwa Firaha wakigongana Kwa staili ile Yao maarufu. Baadhi ya watu tulipigwa mshangao na shutuma kali kabisa juu Yao. Na bila kupoteza Muda Mara Baada ya Ibaada tuliwakimbilia Kujua kulikoni na kuwakuta wakicheka HATA huyo mbakwa mwenyewe yupo ana furaha zake. Tulipohoji kulikoni wakatuambia HATA Uvumi usio na ukweli juu ya mzee wa liliondo uliwafanya HATA viongozi wa Nchi kutimkia huko wakiamini kubugia kikombe Cha maji machafu yasoyochemshwa eti kutawaponya ukimwi, Nchi Hii maarufu ambayo Siasa na matukio ya uvumi Ndiyo yanayopewa kipaumbele na kuongoza jamii kubwa ya wajinga.
Hadi naondoka Kwenye viwanja hivi najiuliza maswali mengi bila majibu, Nani katengeneza Uvumi huu na Kwa nini?!?. Kama Ni Flora na Mumewe ili iweje au Ni Gia ya kuwapaisha Kwenye chati tena manake ukitaka Kuwa maarufu Kwenye Nchi ya wajinga jisingizie mambo ya chupini lazima utakamata Akili Za maelfu ya wajivuni. Kama ni Adui wa Flora WHY?!? ..
Nikajikuta najiapiza kutofuatilia ujinga na upuuzi Kama huu tena. Bora nifanye KaZi Kwa bidii kuifanya familia yangu iende Chooni sio kung'ang'ana na UZUSHI naonekana kuku tu..
RIP mama Zitto Kabwe..tuko pamoja na Wewe Kamanda Zitto..
Mzee wa Hummer ameshaona kuwa heshima yake mtaani ipo mashakani imebidi aje kujisafisha.... ha ha ha.... najaribu kuufikiria mgegedo wa mzee wa hummer, sijui atakuwa na muhogo kama wangu au kibamia.... ha ha ha
Naona mdau anajaibu kumsafisha Mbasha. Kwa bahati mbaya anamsafisha kwa maji ya gereji.
Hasafishiki ng'oo!!