Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mkuu umenena. Mwandishi au mtoa mada sina uhakika kama anachokinena kweli. Anashindwaje kuweka picha za watu wenye furaha ?

si ndo hapo sasa aweke

na ikumbukwe kesi imefunguliwa na kuna kifungu namba kazaa sasa pia huo ni uzushi??
 
Mkuu,hawa wametumwa kumsafisha huyo shetani Mbasha kwenye mitandao ya kijamii,si unaona hata jina lake,ukitoa M tu unapata Basha,sa kuna nini tena hapo wakati jina tu lishajidhirihisha kuwa mwenye jina ni mtu wa aina gani,sheria ni vema ichukue mkondo wake ili haki itendeke

hiyo saiko yote ni ngono inanuka hapo
 
Wiki Hili mitandao, magazeti, na majukwaa ya watu wasio na KaZi wanaoishi Kwa kushiba majungu na umbea hasa inshu za Ndani ya nguo, wameshibishwa Bonge la Uongo unaohusiana na mambo ya kubaka hasa wakituhumu mume wa Mwimbaji huyu mashuhuri Flora Mbasha.

Wakiwa wenye Furaha Flora Mbasha na Mumewe wameonekana wakiimba Ndani ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Kwa Firaha wakigongana Kwa staili ile Yao maarufu. Baadhi ya watu tulipigwa mshangao na shutuma kali kabisa juu Yao. Na bila kupoteza Muda Mara Baada ya Ibaada tuliwakimbilia Kujua kulikoni na kuwakuta wakicheka HATA huyo mbakwa mwenyewe yupo ana furaha zake. Tulipohoji kulikoni wakatuambia HATA Uvumi usio na ukweli juu ya mzee wa liliondo uliwafanya HATA viongozi wa Nchi kutimkia huko wakiamini kubugia kikombe Cha maji machafu yasoyochemshwa eti kutawaponya ukimwi, Nchi Hii maarufu ambayo Siasa na matukio ya uvumi Ndiyo yanayopewa kipaumbele na kuongoza jamii kubwa ya wajinga.

Hadi naondoka Kwenye viwanja hivi najiuliza maswali mengi bila majibu, Nani katengeneza Uvumi huu na Kwa nini?!?. Kama Ni Flora na Mumewe ili iweje au Ni Gia ya kuwapaisha Kwenye chati tena manake ukitaka Kuwa maarufu Kwenye Nchi ya wajinga jisingizie mambo ya chupini lazima utakamata Akili Za maelfu ya wajivuni. Kama ni Adui wa Flora WHY?!? ..

Nikajikuta najiapiza kutofuatilia ujinga na upuuzi Kama huu tena. Bora nifanye KaZi Kwa bidii kuifanya familia yangu iende Chooni sio kung'ang'ana na UZUSHI naonekana kuku tu..

RIP mama Zitto Kabwe..tuko pamoja na Wewe Kamanda Zitto..

Mkuu we ndo kiongozi wa Media Ministry nini?
 
Mleta uzi mwenyewe anaitwa
TA.K.O akili ni zile zile maana t.a.k.o na mbunye si majirani wale!!?
 
Mzee wa Hummer ameshaona kuwa heshima yake mtaani ipo mashakani imebidi aje kujisafisha.... ha ha ha.... najaribu kuufikiria mgegedo wa mzee wa hummer, sijui atakuwa na muhogo kama wangu au kibamia.... ha ha ha

Hicho ndo kitengo cha media ministry nadhani.
 
Mkuu Goodrich umetisha kaka,shigongo mwenyewe anasubiri
 
Last edited by a moderator:
Naona mdau anajaibu kumsafisha Mbasha. Kwa bahati mbaya anamsafisha kwa maji ya gereji.
Hasafishiki ng'oo!!

Hapana mkuu, hamsafishi mbasha hapo. Anamsafisha Mfufua misukule indirect then mbasha nae atakuwa safi kupitia kwa mwalimu mkuu wa misukule coz ndo alechafua hali ya hewa.
 
eheeeeeeeeeeeeeeeee,ushakuja mzee wa kupunguza herufi na kuleta maana zako nyingine
 
Wiki Hili mitandao, magazeti, na majukwaa ya watu wasio na KaZi wanaoishi Kwa kushiba majungu na umbea hasa inshu za Ndani ya nguo, wameshibishwa Bonge la Uongo unaohusiana na mambo ya kubaka hasa wakituhumu mume wa Mwimbaji huyu mashuhuri Flora Mbasha.

Wakiwa wenye Furaha Flora Mbasha na Mumewe wameonekana wakiimba Ndani ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Kwa Firaha wakigongana Kwa staili ile Yao maarufu. Baadhi ya watu tulipigwa mshangao na shutuma kali kabisa juu Yao. Na bila kupoteza Muda Mara Baada ya Ibaada tuliwakimbilia Kujua kulikoni na kuwakuta wakicheka HATA huyo mbakwa mwenyewe yupo ana furaha zake. Tulipohoji kulikoni wakatuambia HATA Uvumi usio na ukweli juu ya mzee wa liliondo uliwafanya HATA viongozi wa Nchi kutimkia huko wakiamini kubugia kikombe Cha maji machafu yasoyochemshwa eti kutawaponya ukimwi, Nchi Hii maarufu ambayo Siasa na matukio ya uvumi Ndiyo yanayopewa kipaumbele na kuongoza jamii kubwa ya wajinga.

Hadi naondoka Kwenye viwanja hivi najiuliza maswali mengi bila majibu, Nani katengeneza Uvumi huu na Kwa nini?!?. Kama Ni Flora na Mumewe ili iweje au Ni Gia ya kuwapaisha Kwenye chati tena manake ukitaka Kuwa maarufu Kwenye Nchi ya wajinga jisingizie mambo ya chupini lazima utakamata Akili Za maelfu ya wajivuni. Kama ni Adui wa Flora WHY?!? ..

Nikajikuta najiapiza kutofuatilia ujinga na upuuzi Kama huu tena. Bora nifanye KaZi Kwa bidii kuifanya familia yangu iende Chooni sio kung'ang'ana na UZUSHI naonekana kuku tu..

RIP mama Zitto Kabwe..tuko pamoja na Wewe Kamanda Zitto..

Wewe ni kitengo cha propaganda cha mchungaji x anaemla flora. Acha uzandiki wako wa kufukia mashimo .
 
Lete hiyo video na si porojo.....Unaanzisha thread kumbe huna vielelezo kamili...

Mkuu tedo, sidhani kama video (kama ipo) inaweza kuwa kielelezo cha kufuta yalotokea. Wamegundua wameharibu, wanatafuta njia za kujisafisha.

cc The bold
 
Back
Top Bottom