Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Lete hiyo video na si porojo.....Unaanzisha thread kumbe huna vielelezo kamili...

Mkuu tedo, sidhani kama video (kama ipo) inaweza kuwa kielelezo cha kufuta yalotokea. Wamegundua wameharibu, wanatafuta njia za kujisafisha.

cc The bold
 
Last edited by a moderator:
Maskiniiiii wanajitahidi kusafishaa baada ya kuona wameharibu...kumbe zile RB na majibu ya daktari kuwa shemeji kabakwa nazo ni uongo ha ha haaa
 
Mbona hat uo chenu pendwa cha TBC walionyesha jamaa kamdandia shemejie
 
..
Mie naripoti nilichokiona tu jamani kosa langu lipi?!? Mtu Kama hupendi taarifa si unatimka tu

Hapo nimekuelewa mkuu. Umeripoti ulichokiona but si hukijuacho. Pole sana, coz si yote huyaonayo ukadhani yapo vile ulivoyaona.

Una macho lakini huoni.
 
Bongo raha sanaaa...tumemaliza sakata la Vicky limekuja jpya la Mbasha...
Mbasha hajabaka ila alikuwa na uhusiano na shemej yake ila hyo kesi kabambikiziwa kwa sababu wanazojua wenyewe...
Mbasha atubu kwa kosa la kuzin sio kubaka
 
Kitaani wanadai ni mtego uliowekwa na Gwajim* , mwenye lolote atujuze wambea?
 

kama wameweza kumaliza tofauti zao ni vizuri. mia
 
Magazeti ya leo yameandika mbasha kasema hajabaka ataenda police mwenyewe na kila kitu ataweka wazi ngoja tuone misukule ya nabiii itakavyoumbuka
 

soma mwananchi la leo uone mbasha alivyofunguka
 
Hii kesi ya mbasha na mkanganyiko mkubwa sana,na tena ni ngumu,kila mtu anasema lake,ukweli bi upi??? Mbasha amekana mashtaka yanayomkabili,mimi naamini some one is playing around ili kumchafua,ngoja aende mahakamani mwenyewe tutaujua ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…