Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Hapa nafikiri kuna mchezo unachezwa kumsafisha Gwajima..

Huyo nabii wa vyupi na wake za wa2 hasafishiki hii ni case kma ya 3 kutembea na wake z wa2,kuna case iko mahakama ya mke wa m2 kitambo tu
 
Hivi yule mdogo wa flora aliyedo na ngasa yupo? photo tafadhar japo nimwone.

Kale kamchezo katamu et
 
Na mimi am curious kujua kama yupo salama maana ukigusa issue za sembe huwa zinagusa hadi viongozi wa juu wa serikali

Something must be wrong, cjaamini nlipoamka na kukuta post ya The bold imefungwa mods tafadhali kuna nini knaendea, kama issue ni habari hii baci hata hii post ifungwe
 
Na mimi am curious kujua kama yupo salama maana ukigusa issue za sembe huwa zinagusa hadi viongozi wa juu wa serikali

Kwel best na hvyo Jana alianza kupigiwa cm toka Australia na Kenya.....The bold kuja huku utuondoe hofu et
 
thebold
Njooooo!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Last edited by a moderator:
Something must be wrong, cjaamini nlipoamka na kukuta post ya The bold imefungwa mods tafadhali kuna nini knaendea, kama issue ni habari hii baci hata hii post ifungwe

haina maana for sure mie nimekuwa disappointed kwanini waifunge

wafunge na hii tujue moja kuwa mjadala umefungwa hatutakiwi kujadili
 
Lisemwalo lipo walisema wahenga..............................
 
Wewe ulieleta huu uzi umesema wakigongeana mbona hamna picha umetuonesha tuu ya flora wapi mme.Sababu kuna audio ipo whatassp nimeisikiliza jamaa najielezea sasa wewe unajaribu kuniaminisha ila sijakusoma?
 
hofu yangu kuu ni kwa The bold mwenzenu maana walishaanza jana kama alivyosema jaman njoo ututoe hofu baba.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…