Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

porojo kibao kwa nini haendi polisi uku akiwa na muda wa kuongea na mwandishi? haya majangiri yanayojificha nyumma ya injili yamulikwe.
 
Last edited by a moderator:
"Flora ni mke wangu, mke wa ujana wangu, ninampenda asilimia 100 na yeye analifahamu hilo, lakini sijui ni kitu gani kimemkuta? Sijui ni nini kimeingilia ndoa yetu?"

Kauli nzito sana hii.

Inatia huruma Sana, jamaa anaporwa mke hivihivi na amekubali yaishe na sasa wanataka kumpoteza mvua 30 Segerea. Huyu Gwajima laana ya Mungu lazima imuangukie tu kwa kuiharibu hii ndoa baada ya kumuhamishia Flora gesti...
 
Hapa unatoa movie kabisa.Sababu maelezo kama kuna zaidi uyasikiayo.Mimi nimeisikilza hiyo audio kuna mtu kanirushia huyo jamaa kimaelezo kama alikuwa anatoka na shemeji shemeji.Pili haya maelezo niliyoyasoma kama flora naye anabanjuka kimpango.sasa shetani na shetani wamegombana mmoja kamwaga mboga mwingine ugali.Hapo sasa Shigongo kapata stori yakutupa walimwengu ya kusoma.Kweli hizi nyumba bora tuwe tunaishi chini ya miembe kama zamani.
 
Hivi wewe unayesema umewaona flora mbasha na mumewe wakiimba na kugongana kanisani, umewaona kwenye ndoto au? Coz ndotoni unawaona peke yako tu na hatujapata uthibitisho kutoka kwa mtu mwingine hata mmoja aliyesema kawaona na yeye huko kanisani.

Halafu according to magazeti ya leo, flora kasema mumewe amejificha haonekani na simu yake haipatikani tangu j3, sasa wewe sijui umewaona wapi mpendwa.

La muhimu zaidi "The Bold" our hero, Mungu wa Shadrack, Meshaki na Abednego atakupigania katika kile unachokijua na kukiamini. Hutakufa bali utaishi. Please tunaomba tunotify kwamba upo ok, tuna wasiwasi mkubwaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Inatia huruma Sana, jamaa anaporwa mke hivihivi na amekubali yaishe na sasa wanataka kumpoteza mvua 30 Segerea. Huyu Gwajima laana ya Mungu lazima imuangukie tu kwa kuiharibu hii ndoa baada ya kumuhamishia Flora gesti...

naomba ufafanuzi zaid juu ya uhusiano uliopo kati ya flora na Gwanjima
 
Back
Top Bottom