Mzee wa Hummer na wale vijana wake wanaojiita masujaa wa Daudi. Wanahusika hapa si bure.
bingwa wa kuiba wake za watu JIGWAMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa Hummer na wale vijana wake wanaojiita masujaa wa Daudi. Wanahusika hapa si bure.
Usikimbilie kuwa judgemental kwa kusikiliza upande mmoja wa shiling. Hili suala ni pana kuliko unavyofikiriaHuyo Mbasha ni mbakaji tu, kama hakutenda kosa hilo kwanini alikimbia?? Mvua 30 zinamhusu tu...
"Flora ni mke wangu, mke wa ujana wangu, ninampenda asilimia 100 na yeye analifahamu hilo, lakini sijui ni kitu gani kimemkuta? Sijui ni nini kimeingilia ndoa yetu?"
Kauli nzito sana hii.
tupe ukweli the bold keshatupa wewe je
Hapa unatoa movie kabisa.Sababu maelezo kama kuna zaidi uyasikiayo.Mimi nimeisikilza hiyo audio kuna mtu kanirushia huyo jamaa kimaelezo kama alikuwa anatoka na shemeji shemeji.Pili haya maelezo niliyoyasoma kama flora naye anabanjuka kimpango.sasa shetani na shetani wamegombana mmoja kamwaga mboga mwingine ugali.Hapo sasa Shigongo kapata stori yakutupa walimwengu ya kusoma.Kweli hizi nyumba bora tuwe tunaishi chini ya miembe kama zamani.Ingia hapa uone ishu yenyewe
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/667841-mbasha-aomba-msamaha-kwa-kosa-alilotenda.html
Huyo Mbasha ni mbakaji tu, kama hakutenda kosa hilo kwanini alikimbia?? Mvua 30 zinamhusu tu...
tupe ukweli the bold keshatupa wewe je
Kwa maendeleo na ustawi wa taifa hili naomba Invisible uweke-pause hii thread ili watu tufanyekazi asubuhi hii then uta resume saa kumi na moja jioni, tafadhali mod tuonee huruma wenzio tutashindwa kufanyakazi kabisa kwa kufatilia taarifa hii huku tukizid kuhoji usalama wa The bold
CC: masai dada TATIANA [MENTION=5187]J.lee tweenty4seven Heaven on Earth
WAONE WALIVYONUNA
Cc Active, Moderator, Mhariri
We we ma.ta.ko.Pengo hauhisiani na makanisa ya pentekoste!
Inatia huruma Sana, jamaa anaporwa mke hivihivi na amekubali yaishe na sasa wanataka kumpoteza mvua 30 Segerea. Huyu Gwajima laana ya Mungu lazima imuangukie tu kwa kuiharibu hii ndoa baada ya kumuhamishia Flora gesti...