Kwanini asijisalimishe polis kwanza?
Wabongo jobless mnapenda sana UZUSHI ..
Hii strory ipo sawa kabisa na mimi nlivo ipata kutoka kwenye chanzo husika na gwajima kabisa. Hawa watumishi wa mungu wa sikuhizi hawa? Mie mkewangu nkisha muona anajiunga na makanisa kama haya ya hawa matapeli bora adai talaka kwanza mimi ni mlutheri na ntafia huko na familia yanngu yote
Kwan Gwajima ana tatizo gani. Huyu Mbasha kayataka mwenyewe. Amelikoroga, asubir kulinywa..!!!
Ni kwanini Flora anangangania mme wake aende polisi?
Huyu Mbasha naona kama wamembambikia kesi tu, haiwezekani mtu ambake msichana ijumaa halafu sijui kesho yake akarudia tena halafu akambaka tena kwenye gari? binti unaishinae unaweza kwenda kumbaka kwenye gari? Kwenye gari aliingiaje wakati anajua shemeji yake ni mbakaji? mimi naona huyo binti katoa mzigo yeye mwenyewe wala hajabakwa. Hii ni muvi script yake ni ideas kama za producer Kova.[/QUOTE
apo sasa.hii kesi ni tamu sana....yani kabakwa na kusababishiwa maumivu makali..akamweleza nani?kwa nn hakutoa taarifa ubakaj wa mwanzo akayatoa baada ya kubakwa tena?
Yule binti aliyetumwa alikuwa anataka shaahawa zimjae ili apate ushahidi vizuri kwa daktari........!
Mchezo umechzwa hapo........
Wewe nadhani umekaribia kuitwa mbinguni.. Haya jiandae wiki Lako limebakia moja tuu.. Sijui utasema Nini huko Juu Na UONGO HUU..
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ngachokaaaaaaaaaaaaaaa!!!!apa ni ngoma droooooooooo...
Hakuna mwenye afadhali kumbe.
Jizaz kraisti plizi kam back...ngiterewa
Maneno mazuri haya vijana wangekuwa wanayapata na kuyatafari huku akili ikiwa neutral ndo nyingi zingekuwa zinadumu tatizo watu tunafanya maamuzi tukiwa na hasirahata dhahabu isipopita kwenye moto haiwi safi......................
kwa uzoefu wangu hii ni njia tu ya kuwapitisha ili wajue kwamba kuna kias cha utukufu ambacho kma binadamu wamepungukiwa.
bado ni vijana wayamalize mbona maisha bado yapo?
Ndivyo ilivyo na tunatakiwa kutubu kila wakati dada. Lakini pia dhambi tunazitenga na kuona kama dhambi fulani ndo dhambi kuliko nyingine, mfano uongo kila mtu anasema uongo na hashutuki kabisa lakini kwenye uzinzi ndo kila mtu anashutuka wakati maandiko yanasema wataoenda motoni ni pamoja na waongo, wasengenyaji nk.
Wewe nadhani umekaribia kuitwa mbinguni.. Haya jiandae wiki Lako limebakia moja tuu.. Sijui utasema Nini huko Juu Na UONGO HUU..
we hujui kuwa uzushi nayo ni kazi!Wabongo jobless mnapenda sana UZUSHI ..