Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Wanawake i mean baadhi ya wanawake ni nyoka..........................
 
Hii strory ipo sawa kabisa na mimi nlivo ipata kutoka kwenye chanzo husika na gwajima kabisa. Hawa watumishi wa mungu wa sikuhizi hawa? Mie mkewangu nkisha muona anajiunga na makanisa kama haya ya hawa matapeli bora adai talaka kwanza mimi ni mlutheri na ntafia huko na familia yanngu yote

Wakamuulize ya nabii mwingira na mke wa mzee wa kanisa mimi KKKT daima mbele kurudi nyuma mwiko na siku hizi zinajaa sana wanarudi taratibu naona weshashtuka wanaibiwa nasikia jamaa wana wash brain waumini wao ukitaka ugombane nao mwambie muumini mmoja wa Gwajima mnaibiwa ataongea mpaka mishipa ya shingo itamsimama kweli wajinga ndio waliwao.
 
Huyu Mbasha naona kama wamembambikia kesi tu, haiwezekani mtu ambake msichana ijumaa halafu sijui kesho yake akarudia tena halafu akambaka tena kwenye gari? binti unaishinae unaweza kwenda kumbaka kwenye gari? Kwenye gari aliingiaje wakati anajua shemeji yake ni mbakaji? mimi naona huyo binti katoa mzigo yeye mwenyewe wala hajabakwa. Hii ni muvi script yake ni ideas kama za producer Kova.[/QUOTE

apo sasa.hii kesi ni tamu sana....yani kabakwa na kusababishiwa maumivu makali..akamweleza nani?kwa nn hakutoa taarifa ubakaj wa mwanzo akayatoa baada ya kubakwa tena?

Yule binti aliyetumwa alikuwa anataka shaahawa zimjae ili apate ushahidi vizuri kwa daktari........!
Mchezo umechzwa hapo........
 
Wewe nadhani umekaribia kuitwa mbinguni.. Haya jiandae wiki Lako limebakia moja tuu.. Sijui utasema Nini huko Juu Na UONGO HUU..

Daaa matomaso mpo wengi au ulikuwa unataka uitwe ukawashikie miguu ndio uamini kazi kwelikweli.
 
Mkuu @Mandla Jr kama ndo hivyo jamaa awe kama Zuma, aseme alikuwa mpenzi wake! Na kama anaushahidi auweke wazi kuliko kwenda segerea!
 
hata dhahabu isipopita kwenye moto haiwi safi......................

kwa uzoefu wangu hii ni njia tu ya kuwapitisha ili wajue kwamba kuna kias cha utukufu ambacho kma binadamu wamepungukiwa.

bado ni vijana wayamalize mbona maisha bado yapo?
Maneno mazuri haya vijana wangekuwa wanayapata na kuyatafari huku akili ikiwa neutral ndo nyingi zingekuwa zinadumu tatizo watu tunafanya maamuzi tukiwa na hasira
 
Kwa maneno aliyosema Frola inaonekana kabisa hii issue kama imepikwa

" Mimi nishamsamehe lakini hii kesi iko chini ya familia sio mimi alafu kesi imeshafika polisi na kijinai anajificha nini si aende polisi"

Huyu ndo mke mwema atokaye kwa bwana.
 
Ndivyo ilivyo na tunatakiwa kutubu kila wakati dada. Lakini pia dhambi tunazitenga na kuona kama dhambi fulani ndo dhambi kuliko nyingine, mfano uongo kila mtu anasema uongo na hashutuki kabisa lakini kwenye uzinzi ndo kila mtu anashutuka wakati maandiko yanasema wataoenda motoni ni pamoja na waongo, wasengenyaji nk.

sijui kwann watu wanacheza na ndoa kiasi hiki..................

sata maksa yapo ndani ya ndoa lkn mweny uwezo wa kuzuia kosa lile lisilete madhara makubwa ni wanandoa wenyewe.

hili jmbo linazungumzika na wala halihitaj kupata coverage kubwa namna hii
 
Flora alitakiwa awe na mme wake bega kwa bega,naona familia ya flora wanamwona Emma kama marioo,hana faida yoyote kwao.namwonea huruma,nakumbuka kesi ya ubakaji ya yule raisi wa IMF DSK,mke wake alisimama na mme wake hadi kesi ikaisha.Baada ya mzee kuwa huru ndo wakaachana,Ila Imma kabaki peke yake
 
Ni tatizo sana kuolewa na mwanaume anaekuzidi uzuri lo,hapo sasa atasingiziwa Shetani heloo
 
ndio mana gwajima hujiamini sana.nilidhani ni kwasababu ya nguvu za upako alionao kumbe ni mfumo wake wa kujilinda.ni kama ule wa tiss.aiseeeee.nasikia hata mwenyekiti mtendaji wa makampuni yetu yaleeee hutumia mfumo kama huo kubaini na kuwashughulikia adui zake.

money buys power and respect.
 
Wewe nadhani umekaribia kuitwa mbinguni.. Haya jiandae wiki Lako limebakia moja tuu.. Sijui utasema Nini huko Juu Na UONGO HUU..

Muokoe Gwajima na kanisa lake...

Vipi mbona ile video hujaleta tena....Au desktop imekufa...??
 
Back
Top Bottom