Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

ama kweli hii movie itawapa kick waachen wajinga waendelee kufatilia ha ha jama kaachia had audio. ya msamaha hii ilishapangwa

Kama kweli watakuwa wanasaka Promo kwa Staili hii ! Basi watakuwa wamebugi saana ! Huwezi kujitangaza kwa kesi za kubaka au ndoa kuyumba hii itakuwa ni promo ya kijinga Kama ni kweli unavyodhani !
 
Nabii anapambana kuvaa suruali wakti wa2 tumeshaona makalio yke,hii thread kuna ki2 kinaendelea kufichwa the bold wamemfunga nusu ya maovu yke tumeyajua

gwajima mchepuko, lwakatare na mzee wa afata ni majangili ya madawa na mauaji. shame on them (as per The bold presentation)
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmhhh!!!!!!
Sijui ukweli uko wapi, ila huyo bwana haki yake mpeni, hata kama ni Marioo!!
Si Flora alipenda?

Gwajima kanogewa alionja Asali sasa anataka kuchonga Mzinga , kabuni njia ya kupata nafasi ni Mbasha kwenda Jela kwa kesi ya kubaka ! Lakini watu wamemshitukia sasa labda aje na lingine.
 
gwajima mchepuko, lwakatare na mzee wa afata ni majangili ya madawa na mauaji. shame on them (as per The bold presentation)

Ile thread wameitoa wakti sisi tulikua tunanena kumtoa gwajima pepo l ngono kma yeye anavyowaombea waumini wake,hii imeshakua stori kwenye blogs na mtaani.ki2 iko black n white kua ni setup ili imma aonekane mwovu yeye n bibie wapone
 
Last edited by a moderator:
Ile thread wameitoa wakti sisi tulikua tunanena kumtoa gwajima pepo l ngono kma yeye anavyowaombea waumini wake,hii imeshakua stori kwenye blogs na mtaani.ki2 iko black n white kua ni setup ili imma aonekane mwovu yeye n bibie wapone

hawa modes wamekumbuka kuziba bwawa wakati maji yalishafika bondeni na kusababisha mafuriko mtaani. It is too late
 
hawa modes wamekumbuka kuziba bwawa wakati maji yalishafika bondeni na kusababisha mafuriko mtaani. It is too late

Kapuya n nguvu zke aliziba na wa2 wakajua ila hii wiki kila ki2 kitajulikana,mbasha awe jasiri kma mwanaume asimame n kutuambia kila ki2 hata kma wamehonga police,kuna taasisi nyingi z kumsaidia mbasha
 
Jamani The Bold naomba utusalimie tu mengine badae
 
Kapuya n nguvu zke aliziba na wa2 wakajua ila hii wiki kila ki2 kitajulikana,mbasha awe jasiri kma mwanaume asimame n kutuambia kila ki2 hata kma wamehonga police,kuna taasisi nyingi z kumsaidia mbasha

mambo mengine yanaaibisha si mtu tu binafsi bali hata familia. sasa nguvu yote hiyo wanayotumia kwenye public si heri hata wangekaa kifamilia na kumaliza mambo. mwisho wa siku hatachafuka mbasha tu ila hata kazi ya florah na gwajima imechafuka.
 
Hivi mume wa vick kamata kajitokeza naye?

Mbasha hajabaka,Gwajima ana agenda hapa.

Gwajima ajue hata goti lake litaguswa
 
Acha kuzungukuzunguka wewe, nani hajui? Kusoma huwezi hata picha huoni? Gwajima anamlala Flora
 
Bora huu uzi umefunguliwa,,

Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
mambo mengine yanaaibisha si mtu tu binafsi bali hata familia. sasa nguvu yote hiyo wanayotumia kwenye public si heri hata wangekaa kifamilia na kumaliza mambo. mwisho wa siku hatachafuka mbasha tu ila hata kazi ya florah na gwajima imechafuka.

Gwajima cku hizi shababi ngoja tuone mwisho wa hili saga,cjui mke wke nae msukule mana kila cku scandal yeye yuko kimya tu.
 
“flora ni mke wangu, mke wa ujana wangu, ninampenda asilimia 100 na yeye analifahamu hilo, lakini sijui ni kitu gani kimemkuta? Sijui ni nini kimeingilia ndoa yetu?”

kauli nzito sana hii.
mume wa ujana wangu Asprin kam this way, nina utamu wako wa muda tu, nimekuhifadhia!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…