minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
ama kweli hii movie itawapa kick waachen wajinga waendelee kufatilia ha ha jama kaachia had audio. ya msamaha hii ilishapangwa
Kama kweli watakuwa wanasaka Promo kwa Staili hii ! Basi watakuwa wamebugi saana ! Huwezi kujitangaza kwa kesi za kubaka au ndoa kuyumba hii itakuwa ni promo ya kijinga Kama ni kweli unavyodhani !