kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 340
Mmh! Hapo tena ni majanga. Haya makanisa ya kisasa ni hatari sana inabidi tier makini na ndoa zetu!!
nenda ka google!!naomba ufafanuzi zaid juu ya uhusiano uliopo kati ya flora na Gwanjima
Sio kwamba natetea wabakaji,lakini Mwananchi hii habari imeandikwa kwa ushabiki zaidi badala ya taaluma nzima na maadili ya uandishi.Kwanza kitendo cha kuweka majibu ya kipimo cha VVU ya mtu hadharani ni makosa(yawe positive au negative).Na hapa tuwaulize Mwananchi ushahidi wa kipimo hicho mmeupata wapi?Majibu anapewa yule aliyepimwa na ni oral,yanapotolewa kwa maandishi kwa sababu maalumu yanatakiwa kuwa siri na wala sio kutangaza gazetini!Ingetosha tu kuandika kuwa baadaye alifanya kipimo cha VVU ili kujua afya yake,basi inatosha,hayo mengine ni udaku na Mwananchi sio gazeti la Udaku nyie!
Jingine mnatuambia binti alibakwa mara 3,mbili kwenye gari!Mwanzoni alikaa kimya lakini baada ya kubakwa mara ya #PILI ndio akaamua kuwaeleza ndugu zake na ndio wakaenda kuripoti polisi,je huo mbako wa mara ya #TATU ulitokea baada ya kutoa taarifa kwa ndugu zake?
Yule binti alikua mchepuko wa Imma, na kweli alimla, pengine hilo ndilo alilokiri.sasa na ile Audio tuliyowekewa humu tukaisikia mbona jamaa kama anakiri kubaka?
so...unachotaka kusema ni nini?????????..binafsi naamini hawa wachungaji na dini zao yapo maswali mengi ynaulizwa ila majibu wanajua wao wenyewe......cha msingi ni kutambua sisi binadam mbele za mungu wote ni wakosefu.....tusidanganyane kuna walio karibu na mwenyezi..ilihali kuna dhambi kwa ubinadam wetu wote tunadondoka
Uki do, hata kama shahawa zimeingia bakuli zima, zitatoka tu within no time, sitaki kuamini kwamba eti huyo shemeji alijibakisha mara ya pili ili kutunza shahawa! Jamaa itakuwa lilikuwa na maugwadu likafakamia madudez yakatoka bila mpangilio!
Swali nnalojiuliza.hili ni jambo la aibu mno kwa wanandoa wowote achilia mbali hawa wanaojipambanua km walokole.inakuwaje flora anacooperate kihivyo na vyombo vya habari na majibu yake hayaonyeshi kumsitiri mume wake hasa wakati huu ambapo ukweli haujajulikana?naona km anamsulubu kabisaa.au huyu mbasha alianza zamani habari ya michepuko hadi mkewe akaona this time nooo.na je flora haoni huduma yake ndo ishachafuka hivo maana hawa watu walikuwa wanaonekana wana ndoa yenye mfano?nimejiuliza wee sipati majibu
Wlokole ni wanafiki wakutupwa huwa wanajionaga ni wasafi sana ....wengine wote n wachafu
Mzee wa Hummer na wale vijana wake wanaojiita masujaa wa Daudi. Wanahusika hapa si bure.
bingwa wa kuiba wake za watu JIGWAMA