Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Kwa style hii,mlango wa mbinguni unazidi kuwa mwembamba. .
 
Acheni kuandika na kuropoka maneno yasiyo na vivid ilimradi tu muonekane na nyie mmechangia...Hebu fikirini Kabla ya kuropoka watuwazima!...Kama huna cha kuongea ni bora ukafunga domo!!.....then hizo kashfa mnazozitoa na kutaja majina ya watu moja kwa moja....mtazitolea hesabu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sio kwamba natetea wabakaji,lakini Mwananchi hii habari imeandikwa kwa ushabiki zaidi badala ya taaluma nzima na maadili ya uandishi.Kwanza kitendo cha kuweka majibu ya kipimo cha VVU ya mtu hadharani ni makosa(yawe positive au negative).Na hapa tuwaulize Mwananchi ushahidi wa kipimo hicho mmeupata wapi?Majibu anapewa yule aliyepimwa na ni oral,yanapotolewa kwa maandishi kwa sababu maalumu yanatakiwa kuwa siri na wala sio kutangaza gazetini!Ingetosha tu kuandika kuwa baadaye alifanya kipimo cha VVU ili kujua afya yake,basi inatosha,hayo mengine ni udaku na Mwananchi sio gazeti la Udaku nyie!

Jingine mnatuambia binti alibakwa mara 3,mbili kwenye gari!Mwanzoni alikaa kimya lakini baada ya kubakwa mara ya #PILI ndio akaamua kuwaeleza ndugu zake na ndio wakaenda kuripoti polisi,je huo mbako wa mara ya #TATU ulitokea baada ya kutoa taarifa kwa ndugu zake?


we ni smart kama patrick jane
 
We ULOKOLOKWITANGA ni mgumu wa kuelewa. sio ishu ya upande gani acha ufanya ushabiki, kila mtu ni innocent until proven guilt. jamaa ameongea kwa fact kabisa,...ni walakini ni za maana. maana hata m i naona watu tunashabikia mamabo ambayo hatujui unadani wake

MWAKANDIKA DARI, WAKATI NYUMBA YAVUJA MAPAA
 
Alisema mara ya kwanza alikaa kimya baada ya mtuhumiwa kumtishia kwamba angemdhuru kama angetoa taarifa ya tukio hilo alilofanyiwa wakiwa sebuleni nyumbani kwako Tabata Kimanga, lakini aliamua kutoa taarifa kwa ndugu zake baada ya kubakwa mara ya pili
 
sasa na ile Audio tuliyowekewa humu tukaisikia mbona jamaa kama anakiri kubaka?
Yule binti alikua mchepuko wa Imma, na kweli alimla, pengine hilo ndilo alilokiri.

Lakini ni kweli binti alibakwa na sio makubaliano?

Je walikutwa na mtu wakilana, au baada ya kumaliza shughuli ndio binti akatangaza kubakwa?

Ijumaa binti aliliwa, jumapili aliingiaje kwenye gari la Imma akijua ni mbakaji?

Haya, akabakwa asubuhi, je walivyotoka church binti akaingia kwenye gari lilelile la mbakaji yuleyule then akabakwa Mara ya tatu, inaingia akilini hii?
 
so...unachotaka kusema ni nini?????????..binafsi naamini hawa wachungaji na dini zao yapo maswali mengi ynaulizwa ila majibu wanajua wao wenyewe......cha msingi ni kutambua sisi binadam mbele za mungu wote ni wakosefu.....tusidanganyane kuna walio karibu na mwenyezi..ilihali kuna dhambi kwa ubinadam wetu wote tunadondoka

Mkuu umesema sawa hakuna mwanadamu asiye na dhambi mbele za Mungu,lakini tunahesabiwa haki kwa neema kwa njia ya Kristo Yesu.
(Kwa sababu ukimkri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana,na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu,utaokoka. Rum 10:9)
Yeye ndiye mpatanishi kati ya mwanadamu na Mungu,kwa yeye (Yesu) tunaweza kuwa karibu na Mungu zaidi kwa uhakika wa wokovu na roho zetu.

Nimeipenda comment yako juu ya wachungaji,kiukweli tafsiri ya kile afanyacho mtu huwa ndani ya moyo wake mwenyewe.

Ni Mungu pekee ajuaye,kila mtu atawajibika mbele zake.
 
Uki do, hata kama shahawa zimeingia bakuli zima, zitatoka tu within no time, sitaki kuamini kwamba eti huyo shemeji alijibakisha mara ya pili ili kutunza shahawa! Jamaa itakuwa lilikuwa na maugwadu likafakamia madudez yakatoka bila mpangilio!

Mkuu uko speed sana kumtetea Gwajima, na hivi user name yako inaanzia na "G", anyway ngoja nisijiingize kwenye kosa la "name calling"!!
 
Mbasa we jifiche usijitokeze mpaka ukikishe umeshaweka ushahidi wakutosha maana ukishaingia mikononi mwa jamuhuri ni inshu nyingine iyo
 
Swali nnalojiuliza.hili ni jambo la aibu mno kwa wanandoa wowote achilia mbali hawa wanaojipambanua km walokole.inakuwaje flora anacooperate kihivyo na vyombo vya habari na majibu yake hayaonyeshi kumsitiri mume wake hasa wakati huu ambapo ukweli haujajulikana?naona km anamsulubu kabisaa.au huyu mbasha alianza zamani habari ya michepuko hadi mkewe akaona this time nooo.na je flora haoni huduma yake ndo ishachafuka hivo maana hawa watu walikuwa wanaonekana wana ndoa yenye mfano?nimejiuliza wee sipati majibu

Wlokole ni wanafiki wakutupwa huwa wanajionaga ni wasafi sana ....wengine wote n wachafu
 
Huyu Gwaji mi nashindwa kumwelewa kabisa....naona matendo yake hayana tofauti na bwana Mwingi Efata.....

bora nisali nyumban makanisa kama hayo ni kwenda kuzoa mapepo tu...wanajidai kupaka mafuta kumbe unaambukizwa mispirit ya uzinzi

kweli lucifer anakuza kingdom yake
 
Back
Top Bottom