akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Hee, kumbe....ngoja niendelee kusoma.Inatia huruma Sana, jamaa anaporwa mke hivihivi na amekubali yaishe na sasa wanataka kumpoteza mvua 30 Segerea. Huyu Gwajima laana ya Mungu lazima imuangukie tu kwa kuiharibu hii ndoa baada ya kumuhamishia Flora gesti...
Sent from my iPhone using JamiiForums app