Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Inatia huruma Sana, jamaa anaporwa mke hivihivi na amekubali yaishe na sasa wanataka kumpoteza mvua 30 Segerea. Huyu Gwajima laana ya Mungu lazima imuangukie tu kwa kuiharibu hii ndoa baada ya kumuhamishia Flora gesti...
Hee, kumbe....ngoja niendelee kusoma.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hizo Ndio ndoa....na hio ni robo tu, ndoa zinahitaji uvumilivu mkubwa sana sana Yaani mkikatiza miaka mitano ni kumshukuru MUNGU

Kama ndio, bado nipo nipo sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Nisije nikasutwa sijasema uhusiano wa kimapenzi...

Uhusiano ni Gwajima kumhamishia Flora GEST, kumpa cheo kikubwa kanisani, kumpeleka chuoni Uingereza na kumtembelea mara kwa mara, kuzunguka naye kwenye mikutano nchi nzima. Yote hayo AMESAIDIA huku mumewe Flora amebaki nyumbani.

Hapa sasa nimeelewa. Haihitaji Diploma kung'amua kilichomo hapo, just a common sense.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Nilitaka kushangaa sasa naelewa kitu ogopa kusali haya makanisa ya manabii ni hatari sana,mzee kulola babu wa flora mbasha alionya sana juu ya manabii,hamkusikia mmengoja afe mtoroke kanisa hakika hamtapona na ninahis kuna picha ya kinyumekinyume inachezwa,yani mtu anasingiziwa na kuandikwa sana aonekane ni yeye mkosaji kumbe aliyekosa katulia asitajwe,utamficha mwanadamu sio mungu anayerekodi ni mawazo yangu tu.
 
huyo aliyetoa hii post akinijibu haya maswali nitamwelewa, huwa sipendi kurun into conclusion... napenda kuhakikisha.
-Frola na mumewe walihamia mwezi gani ufufuo na uzima?
-Mikutano ilianza lini?
-je huo muda kati ya mwezi aliohamia Frola na mmewe hadi kipindi mikutano inaanza ni kipindi cha muda gani? mana hapo kati ndo umesema Frola alipelekwa na Gwajima UK kusoma na Gwajima ambaye hawezi kupita miezi miwili bila kwenda UK, akawa anaenda huko MARA KWA MARA na kuonana na Frola..sasa kwani ni miezi mingapi hapo kati? kwamba ni mingi hadi Gwajima akawa anaenda mara kwa mara (interval uliyoweka 2 months)! even if unamaanisha kile kipindi baada ya mikutano iliyoisha 30/31st December, 2013... je Frola mwanzoni mwa mwaka huu alivyoenda UK alikaa muda gani.. mwezi uliisha??
-Alienda bila mumewe? kama ni kipindi hicho Gwajima alisafiri?
-hiyo course ilikuwa ya muda gani? ... bila shaka very very short course.. ilikuwa ya nini aisee? ...
-hivi shortcourse fupi zaidi ambayo ni rasmi kabisa kiasi kwamba unaweza kuisafiria ni ya muda gani?
-je mikutano ilifanyika nchi nzima???????
-na katika hiyo mikutano... Frola hakuwa na mmewe??? alikuwa mwenyewe???

naomba majibu
 
Acheni kuandika na kuropoka maneno yasiyo na vivid ilimradi tu muonekane na nyie mmechangia...Hebu fikirini Kabla ya kuropoka watuwazima!...Kama huna cha kuongea ni bora ukafunga domo!!.....then hizo kashfa mnazozitoa na kutaja majina ya watu moja kwa moja....mtazitolea hesabu!


Sent from my iPhone using JamiiForums

We ni Gwajima au Mfuasi wake? Mbona povu jingi kinywani??
 
Naomba nifunguke kidogo nielezee
kile ninachokifahamu kuhusu ili
sakata!!
Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na
Florah ulianza kushika kasi mwaka
jana mara baada ya Florah na
Mumewe kuhamia kuanza kusali
kanisani kwa GWAJIMA (ufufuo na
Uzima - kawe) wakitokea kanisa la
MITO YA BARAKA (kariakoo)!
Inasemekana kuwa mara baada ya
kuhamia kanisani hapo kwa mualiko
wa Gwajima (aliwaombe waje kusali
kwake), mchungaji Gwajima
alimfanya florah kama kiongozi wa
Ibada ya SIFA na KUABUDU katika
mikutani yake!! Kama ni mfuatiliaji
wa haya mambo utakumbuka kuwa
mwaka jana Florah alizunguka
Tanzania nzima akiwa na Gwajima
wakifanya mikutano ya Injili!!
Baada ya Muda kidogo Mchungaji
Gwajima alimpeleka Florah London
kwaajili ya masomo kitendo ambacho
inasemekana kilipingwa sana na
mumewe Mbasha! Ikumbukwe kuwa
GWAJIMA haiwezi kupita miezi
miwili pasipo kwenda UK coz
amefungua kanisa kule (GLORY OF
CHRIST - UK)!! So katika kipindi
ambacho florah alikuwa London
walikuwa wanaonana mara nyingi
sana na GWAJIMA...
Baada ya Florah kurudi Tanzania
ndipo akaanza hii ziara ya
kuzunguka mikoani na GWAJIMA..
inasemekana kuwa katika kipindi
hiki ndipo mahusiano ya kindoa kati
ya forah na mumewe yalizorota
zaidi... baada ya ziara kuisha Florah
arirudi nyumbani lakini she wasn't
the same (nisiseme zaidi)! Baada ya
mikwaruzano ya hapa na pale ndipo
Florah akaenda kukaa hotelini na
inasemekana hoteli ilikuwa inalipiwa
na mchungaji GWAJIMA, ikumbukwe
kuwa ni swala la kawaida kwa
Gwajima kuwalipia bills mbalimbali
viongozi wake wa huduma hapo
kanisani kwa mfano anamchngaji
anaitwa MAXMILLIAN MACHUM
amempangishia nyumba ya ghorofa
pale ubungo na wachungaji wake
wote wapatao thelethini
amewanunulia magari!! Lakini hata
hivyo hii hatua yake ya kumpangia
hoteli mke wa mtu ilizua maswali
mengi sana...
Very good details nime like ulivyoanalyse, jf wote tungekuwa hivi tungekuwa na uhalali wa kujiita great thinkers
 
naomba nifunguke kidogo nielezee
kile ninachokifahamu kuhusu ili
sakata!!
Mgogoro katika ndoa ya mbasha na
florah ulianza kushika kasi mwaka
jana mara baada ya florah na
mumewe kuhamia kuanza kusali
kanisani kwa gwajima (ufufuo na
uzima - kawe) wakitokea kanisa la
mito ya baraka (kariakoo)!
Inasemekana kuwa mara baada ya
kuhamia kanisani hapo kwa mualiko
wa gwajima (aliwaombe waje kusali
kwake), mchungaji gwajima
alimfanya florah kama kiongozi wa
ibada ya sifa na kuabudu katika
mikutani yake!! Kama ni mfuatiliaji
wa haya mambo utakumbuka kuwa
mwaka jana florah alizunguka
tanzania nzima akiwa na gwajima
wakifanya mikutano ya injili!!
Baada ya muda kidogo mchungaji
gwajima alimpeleka florah london
kwaajili ya masomo kitendo ambacho
inasemekana kilipingwa sana na
mumewe mbasha! Ikumbukwe kuwa
gwajima haiwezi kupita miezi
miwili pasipo kwenda uk coz
amefungua kanisa kule (glory of
christ - uk)!! So katika kipindi
ambacho florah alikuwa london
walikuwa wanaonana mara nyingi
sana na gwajima...
Baada ya florah kurudi tanzania
ndipo akaanza hii ziara ya
kuzunguka mikoani na gwajima..
Inasemekana kuwa katika kipindi
hiki ndipo mahusiano ya kindoa kati
ya forah na mumewe yalizorota
zaidi... Baada ya ziara kuisha florah
arirudi nyumbani lakini she wasn't
the same (nisiseme zaidi)! Baada ya
mikwaruzano ya hapa na pale ndipo
florah akaenda kukaa hotelini na
inasemekana hoteli ilikuwa inalipiwa
na mchungaji gwajima, ikumbukwe
kuwa ni swala la kawaida kwa
gwajima kuwalipia bills mbalimbali
viongozi wake wa huduma hapo
kanisani kwa mfano anamchngaji
anaitwa maxmillian machum
amempangishia nyumba ya ghorofa
pale ubungo na wachungaji wake
wote wapatao thelethini
amewanunulia magari!! Lakini hata
hivyo hii hatua yake ya kumpangia
hoteli mke wa mtu ilizua maswali
mengi sana...

wewe una cheo gani kwa gwajima?
 
Huyu kwa naelezo haya ajindae kwend segadansi
 
Nilitaka kushangaa sasa naelewa kitu ogopa kusali haya makanisa ya manabii ni hatari sana,mzee kulola babu wa flora mbasha alionya sana juu ya manabii,hamkusikia mmengoja afe mtoroke kanisa hakika hamtapona na ninahis kuna picha ya kinyumekinyume inachezwa,yani mtu anasingiziwa na kuandikwa sana aonekane ni yeye mkosaji kumbe aliyekosa katulia asitajwe,utamficha mwanadamu sio mungu anayerekodi ni mawazo yangu tu.

Hata Kulola, ni walewale hakuwa na ukweli. kisa chake cha kufa sikutatu na kupelekwa kuzimu, kilinifanya nilihame kanisa lake mwaka 1987, tulikuwa tukisalia shule ya msingi Isenga Pasiansi Mwanza.
 
Hata Kulola, ni walewale hakuwa na ukweli. kisa chake cha kufa sikutatu na kupelekwa kuzimu, kilinifanya nilihame kanisa lake mwaka 1987, tulikuwa tukisalia shule ya msingi Isenga Pasiansi Mwanza.

Kwa hiyo na wewe ulienda kusali kwa kufuata mtu! Utaendelea kuhama makanisa hata milele. Pole sana
 
Back
Top Bottom