Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Inatia huruma Sana, jamaa anaporwa mke hivihivi na amekubali yaishe na sasa wanataka kumpoteza mvua 30 Segerea. Huyu Gwajima laana ya Mungu lazima imuangukie tu kwa kuiharibu hii ndoa baada ya kumuhamishia Flora gesti...
Hee, kumbe....ngoja niendelee kusoma.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hizo Ndio ndoa....na hio ni robo tu, ndoa zinahitaji uvumilivu mkubwa sana sana Yaani mkikatiza miaka mitano ni kumshukuru MUNGU

Kama ndio, bado nipo nipo sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 

Hapa sasa nimeelewa. Haihitaji Diploma kung'amua kilichomo hapo, just a common sense.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Nilitaka kushangaa sasa naelewa kitu ogopa kusali haya makanisa ya manabii ni hatari sana,mzee kulola babu wa flora mbasha alionya sana juu ya manabii,hamkusikia mmengoja afe mtoroke kanisa hakika hamtapona na ninahis kuna picha ya kinyumekinyume inachezwa,yani mtu anasingiziwa na kuandikwa sana aonekane ni yeye mkosaji kumbe aliyekosa katulia asitajwe,utamficha mwanadamu sio mungu anayerekodi ni mawazo yangu tu.
 
Achana nae huyo wanatapata misukule kumsafisha mganga wao.Mungu hamfichi mnafiki.

Pengo anapiganiwa kwa kauli za kimtaani hivi? Jifunzeni staha angalau katika mambo ya imani.
 
huyo aliyetoa hii post akinijibu haya maswali nitamwelewa, huwa sipendi kurun into conclusion... napenda kuhakikisha.
-Frola na mumewe walihamia mwezi gani ufufuo na uzima?
-Mikutano ilianza lini?
-je huo muda kati ya mwezi aliohamia Frola na mmewe hadi kipindi mikutano inaanza ni kipindi cha muda gani? mana hapo kati ndo umesema Frola alipelekwa na Gwajima UK kusoma na Gwajima ambaye hawezi kupita miezi miwili bila kwenda UK, akawa anaenda huko MARA KWA MARA na kuonana na Frola..sasa kwani ni miezi mingapi hapo kati? kwamba ni mingi hadi Gwajima akawa anaenda mara kwa mara (interval uliyoweka 2 months)! even if unamaanisha kile kipindi baada ya mikutano iliyoisha 30/31st December, 2013... je Frola mwanzoni mwa mwaka huu alivyoenda UK alikaa muda gani.. mwezi uliisha??
-Alienda bila mumewe? kama ni kipindi hicho Gwajima alisafiri?
-hiyo course ilikuwa ya muda gani? ... bila shaka very very short course.. ilikuwa ya nini aisee? ...
-hivi shortcourse fupi zaidi ambayo ni rasmi kabisa kiasi kwamba unaweza kuisafiria ni ya muda gani?
-je mikutano ilifanyika nchi nzima???????
-na katika hiyo mikutano... Frola hakuwa na mmewe??? alikuwa mwenyewe???

naomba majibu
 

We ni Gwajima au Mfuasi wake? Mbona povu jingi kinywani??
 
Very good details nime like ulivyoanalyse, jf wote tungekuwa hivi tungekuwa na uhalali wa kujiita great thinkers
 

wewe una cheo gani kwa gwajima?
 
Huyu kwa naelezo haya ajindae kwend segadansi
 

Hata Kulola, ni walewale hakuwa na ukweli. kisa chake cha kufa sikutatu na kupelekwa kuzimu, kilinifanya nilihame kanisa lake mwaka 1987, tulikuwa tukisalia shule ya msingi Isenga Pasiansi Mwanza.
 
Hata Kulola, ni walewale hakuwa na ukweli. kisa chake cha kufa sikutatu na kupelekwa kuzimu, kilinifanya nilihame kanisa lake mwaka 1987, tulikuwa tukisalia shule ya msingi Isenga Pasiansi Mwanza.

Kwa hiyo na wewe ulienda kusali kwa kufuata mtu! Utaendelea kuhama makanisa hata milele. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…