Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Kwa hiyo na wewe ulienda kusali kwa kufuata mtu! Utaendelea kuhama makanisa hata milele. Pole sana

We mbulula kweli. sasa wewe unafata nani? kwanini haufuati dini ya saili? Biblia inasema chanzo cha imani ni kusikia, sasawewe hiyo imaniyako uliisikia kwa wanyama?
 
Mmmh Mchungaji amesambaratisha ndoa ya mtu hakuna haja ya kumeza maneno! Kwa nini asingempeleka mke wake London kusoma, mpaka apeleke mke wa mtu mwingine?
 
Nyie waandika thread wengine hatuwaelewi...SWALI LA MSINGI NI ALIMBAKA HUYO MTOTO AU HAKUBAAKA...sisi hatuna haja ya kujua maswala yao ya ndoa ya huko uingereza kwani wakati yanatokea nani aliambiwa ama alienda kuripoti wapi kuwa mkewe anatoka na Gwajima....kwa maelezo ya huyo mtoa thread wa kwanza hajakanusha kama huyu Michael alibaka kwa hiyo the issue here ni amebaka mtoto under 18 habari hizo nyingine za kuyumbishana hoja wapelekee vichwa maji...na ole wenu hiyo Kesi ije kwenye mahakama yangu huyo nitamfunga 30 zote hii tabia ikome kabisa.....YOU CANT CHEAT GOD...MNASIMAMA MAJUKWAANI TUNAWAONA WATU WA MAANA. Kumbe ni rubbish kabisa nyuma ya majukwaa.....Disgusting!!!!!
 
Hivi mume wa vick kamata kajitokeza naye?

Mbasha hajabaka,Gwajima ana agenda hapa.

Gwajima ajue hata goti lake litaguswa

Mbona hujaeleweka, kwani Vick aliwahi kuwa na mke? Acha kukurupuka! Goti litaguswa? Hizi ndio zileee div 5.
 
Hilo jina lako linataka kufanana na Gwajima Activist...au huko kwenye kazi ya media (media ministry)...te te te...

Mimi nimekuwepo humu kabla ya huyo Gwajima hajawa maarufu! Huo ni mtazamo wangu tu, kutofautiana na wewe kusikufanye usinigroup ujuavyo wewe
 
Mkuu uko speed sana kumtetea Gwajima, na hivi user name yako inaanzia na "G", anyway ngoja nisijiingize kwenye kosa la "name calling"!!

Ukifanya hivyo utakuwa unakosea sana mkuu, kama unavyokosea kwa kumdhania huyo Gwajima eti anagegeda huyo Frola!

Huwa naumia sana ninapoona watu wanakuwa mstari wa mbele kuwasema, kuwazushia na kukashfu watumishi wa Mungu! Kama ni kweli hayo wanafanya, basi tumuachie Mungu awaumbue, sisi hatuwezi kuwatetea, wala kuwa kashfu hata kuwaondolea umaarufu wao!
 
huyo aliyetoa hii post akinijibu haya maswali nitamwelewa, huwa sipendi kurun into conclusion... napenda kuhakikisha.
-Frola na mumewe walihamia mwezi gani ufufuo na uzima?
-Mikutano ilianza lini?
-je huo muda kati ya mwezi aliohamia Frola na mmewe hadi kipindi mikutano inaanza ni kipindi cha muda gani? mana hapo kati ndo umesema Frola alipelekwa na Gwajima UK kusoma na Gwajima ambaye hawezi kupita miezi miwili bila kwenda UK, akawa anaenda huko MARA KWA MARA na kuonana na Frola..sasa kwani ni miezi mingapi hapo kati? kwamba ni mingi hadi Gwajima akawa anaenda mara kwa mara (interval uliyoweka 2 months)! even if unamaanisha kile kipindi baada ya mikutano iliyoisha 30/31st December, 2013... je Frola mwanzoni mwa mwaka huu alivyoenda UK alikaa muda gani.. mwezi uliisha??
-Alienda bila mumewe? kama ni kipindi hicho Gwajima alisafiri?
-hiyo course ilikuwa ya muda gani? ... bila shaka very very short course.. ilikuwa ya nini aisee? ...
-hivi shortcourse fupi zaidi ambayo ni rasmi kabisa kiasi kwamba unaweza kuisafiria ni ya muda gani?
-je mikutano ilifanyika nchi nzima???????
-na katika hiyo mikutano... Frola hakuwa na mmewe??? alikuwa mwenyewe???

naomba majibu

MTOA POST UNACHOPASWA NI KUJIBU MASWALI YA MUULUIZAJI ALIE TANGULIA NA UKIELEZEA KINAGA UBAGA ULI UNACHO KIANDIKA KWA MSOMAJI AFAHAMU KWA KINA HASA KULIKO KUELEZEA KUWA KWENYE NYUMBA KUNA MADUILISHA MILANGO NA MAPAZIA AMBAPO SI AJABU KUONA NYUMBA AMBAYO HAINA MADIRISHA.ELEZEA KILA TUKIO LILITOEA LINI WAKATI GANI TAREHEH GANI KWA MTU ANAYE FATILIA AJUE UNACHO KISEMA NI KWELI AU UMEPIKA TU,NA KAMAM UNA VIAMBATANISHO UVIWEKE MFANO UNAPIOSEMA ALISAFIRI KWENDA UK(UINGEREZA)KUNA NYARAKA ZA KUSAFIRIA WALAU TICKE YENYE TAREHE NA BODDING PASS (VISA PIA HATA WATU W UBALOZI WATATHIBITISHA WALITOA VISA YA MDA GANI),KUNA VIELELEZO VINGINE VINGI ILI UNACHOKIFANYA KIWE RELEVANT KULIKO KUKAA NDANI NA KUPIKA TU,UPISHI WAKO ILI UWE MZURI TOA MAELEZO YA KUTOHSA ISIJE UKAWA MUHANGA WA HOMA YA DENGUE NA UNAJARIBU KUTUMIA MGOGORO WA MR AND MRS MBASHA KUHARIBU IMAGE YA WATU WA MUNGU.
 

wewe acha kupayuka kakojoe ulale una mahakama yako uitoe wapi? mahakama ni mali ya nchi na wananchi nyie ni walewale apa kuna usaliti wa ndoa baada ya kuona mume wake anawaumbua michepuko wametengeneza scandle kummalza...kuna taarfa kua yeye na flora ata unyumba hawapean kutokana na mgogoro ndani ya ndoa hii kes ata mtoto mdogo anaona imepkwa kwann bnt asubir kubakwa mara mbili ndio aende pilisi et kabakwa ijumaa kasubr ad jpili kabakwa tena hizi stor wapelekeen watoto wachanga wa chekechea na ole wake anayemuuza huyu kijana ataumbuka mchana kweupe...ole wao kijana mtumainie Mungu
 
Binti kabakwa ndani ya gari ya ndani,je alipiga kelele?huyu mbasha namfahamu tabia yake,sio mtu wa kuaacha kitu kizuri lkn hapa ameingia kwenye mtego wa mchepuko wa nkewe maana mkewe naye hajatulia.
 
huyo binti alisubiri kubakwa mara ya pili ndio atoe taarifa? katumwa huyu aeleze ukweli aliyemtuma kwenda polisi
 

Then mara ya tatu je??

Au ndio akategesha mashine ili apate ushahidi wa Shahawa?

OK, mara ya pili aliripoti Polisi akapewa RB, kwanini alivyokutana nae mara ya tatu asifanye mpango wa kumkamatisha na RB alikua nayo tayari?
 
toka mwanzoni nlijua tu ni uzushi kwa sababu hzi
1...wanaomtumikia MUNGU wamezoea kuzushiwa skendo
2..kubakwa mara 3 binti wa miaka 17, ina make sense kweli?..kwa nn hakuripoti mara ya 1
3...kuhusu MCHUNGAJI KIONGOZI GWAJIMA kuzunguka na flora nchi nzima sio kweli bz walifanya mikutano TANGA, ARUSHA NA KILIMANJARO TU,alafu mchungaji GWAJIMA MARA NYINGI yupo na MA SENIOR PASTORS NA MKEWE mnaosema kavunja ndoa ya flora mna maana gani?
4..isingewezekana mchungaji kila j2 anafungisha watu ndoa then avunje ndoa ya mbasha
5...kwa nn magazeti yaseme eti POLISI WANAMTAFUTA MBASHA na wanajua home kwake au watu ambao wanaweza wakabanwa waseme alipo huu ni uzushi..,
6..mnaosema gwajima kampangishia flora hotel mna uhakika kwani yeye hana hela hata kama kweli mchungaji ana utaratibu wa kupangishia viongozi wenzake wa juu nyumba na kuwapa magari na haya magari ANAPEWA MISAADA TOKA NJE HATA ILE HAMMER HAKUKUNUA ALIPEWA MSAADA
Wito wangu kila ndoa ina mapito haijalishi ni ya mchungaji au nani bz wote ni wanadamu tusiwaseme watumishi wa MUNGU vibaya kwa vitu tusivyokua na uhakika navyo
 
Sija copy mkuu, yawezekana ni mgongano tu mawazo.

The bold ametishwa kapotea ila tumeshajua mengi huyu nabii njia yke kwenda mbinguni ni nyembamba sana,wamekuja wa2 kumtetea hpa ila hasafishiki aitishe press conference ajibu tuhuma.wa2 wke wamefungua acc hpa jana kumtetea amewapaka yale mafuta y kuwafanya mazezeta n misukule yke
 
Very good details nime like ulivyoanalyse, jf wote tungekuwa hivi tungekuwa na uhalali wa kujiita great thinkers

Ameanalyse au amesimulia anachokijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…