huyo aliyetoa hii post akinijibu haya maswali nitamwelewa, huwa sipendi kurun into conclusion... napenda kuhakikisha.
-Frola na mumewe walihamia mwezi gani ufufuo na uzima?
-Mikutano ilianza lini?
-je huo muda kati ya mwezi aliohamia Frola na mmewe hadi kipindi mikutano inaanza ni kipindi cha muda gani? mana hapo kati ndo umesema Frola alipelekwa na Gwajima UK kusoma na Gwajima ambaye hawezi kupita miezi miwili bila kwenda UK, akawa anaenda huko MARA KWA MARA na kuonana na Frola..sasa kwani ni miezi mingapi hapo kati? kwamba ni mingi hadi Gwajima akawa anaenda mara kwa mara (interval uliyoweka 2 months)! even if unamaanisha kile kipindi baada ya mikutano iliyoisha 30/31st December, 2013... je Frola mwanzoni mwa mwaka huu alivyoenda UK alikaa muda gani.. mwezi uliisha??
-Alienda bila mumewe? kama ni kipindi hicho Gwajima alisafiri?
-hiyo course ilikuwa ya muda gani? ... bila shaka very very short course.. ilikuwa ya nini aisee? ...
-hivi shortcourse fupi zaidi ambayo ni rasmi kabisa kiasi kwamba unaweza kuisafiria ni ya muda gani?
-je mikutano ilifanyika nchi nzima???????
-na katika hiyo mikutano... Frola hakuwa na mmewe??? alikuwa mwenyewe???
naomba majibu[/QUOTE
unatokea kituo gani afande??