Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mambo ya mbasha tuyafunge sasa tumeshachangia mawazo yetu vya kutosha
Kama kutusikia wametusiki imetosha sasa serekali ipo ifanye kazi yake
 
Haaaah majambaz hao wazembe sana unless walikuwa wanatania kuvamia! Hivi wataombaje kufunguliwa geti jaman! Na wao walijipa moyo kuwa geti litafunguliwa? Naona director wa muvi yuko vzuri ila akili zake za kizembe sana
 
Hapana me naona mtunzi wake ndio alikosea.
 
Hiyo ndo bongo movie Jambazi akikuvamia akitaka kuingia ndani avue viatu
Jini akitaka kuvuka barabara lazima apepese kuangali kama kuna gar inakuja

So haya ya Frola wala sishangai direkta wa Frola lazima atakuwa ni wa bongo movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…