Hard drive
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 265
- 62
pambafu xana hii dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kwanini anaishi Hotelini,mi navyojua wanawake wengi wakizinguana na waume zao wanaenda kwanza nyumbani kwa wazazi
Bas siku iz anajiona malkia kila sehem yeye, na angekuwa mzur sasa, sura nzito kama tope la uyole
sa alienda tabata kufanya nini angebaki huko huko
Bas siku iz anajiona malkia kila sehem yeye, na angekuwa mzur sasa, sura nzito kama tope la uyole
Madam alienda tabata ili movie ya kutekwa itimie.
Hivii huyo mmewe ni weupe wake au mbona mwekundu mwekundu
Bas siku iz anajiona malkia kila sehem yeye, na angekuwa mzur sasa, sura nzito kama tope la uyole
labda nae anatomia kalamite Caroline.....?
Unless kama anazungumzia polisi wa Marekani na namba aliyopiga ni 911.
Hao 'watu wabaya' walishindwa hata kuruka fensi hadi waombe wafunguliwe geti?
Utoto mtumpu.
Haaaah majambaz hao wazembe sana unless walikuwa wanatania kuvamia! Hivi wataombaje kufunguliwa geti jaman! Na wao walijipa moyo kuwa geti litafunguliwa? Naona director wa muvi yuko vzuri ila akili zake za kizembe sana