Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Watetezi wa haki za watoto na wanawake mmesikia hayo!. Kwa hakika vitendo vya ubakaji na udhalalishaji wa kijinsia hatokwisha kwa mtido wa kuficha maovu na kumalizana kimyakimya. Tubadilike, tuachane na tabia za kulindana na kuoneana haya, FICHUWA Uovu!
 
mm ni mjukuu wa askofu


unaonaje kama ungewatafuta kwa simu ukamshauri badala ya kupost hapa huenda hata asichungulie hapa au hekima yako imekuongoza hivyo.
 
Wewe Mankaa mbona hapo kwenye RED na BLUE panapingana???

Iwapo Flora ni ndugu yako basi wewe ndio mtu wa karibu wa kumpa ushauri kama ndugu yako ili kuepuka aibu mnayoipata kwenye ukoo wenu UKOO WA KULOLA....

Siyo askofu Kulola my dia
 
Last edited by a moderator:
Yeye katoa ushauri kwa Flora, hajamhukumu!


Flora anachekigi jf ? huyo mjukuu angeenda kumchana live tu si wako kwenye ukoo mmoja

kama Flora hachekigi jf fanani na hadhira zitakuwa havina uhusiano wa moja kwa moja
 
Kabaka limama lizima lile kweli?
Ameshajua hata kuvaa nusu uchi ni wakubakwa au ni makubaliano tu;
Vinginevyo ni huyo shetani flora alitaka iwe hivyo ili abaki na uhuru wake.

Mamdenyi, kwahiyo una maana limama lizima likipita mbele yako limevaa nusu uchi ruksakuliparamia? Kwa bahati mbaya siku hizi kubaka ni kubaka tu hata liwe libibilizima linalotembea uchi lilikushitaki unakula mvua tu. Haya mambo hayakuwepo zamani ila kina Getrude Mongela walipokwendaBeijing mambo yakaharibika. Tafsiri ya kubaka imebadilika sana kwa sasa. Mwanamke akikonyezwatu oooh nimedhalilisha kijinsia. Enzi zile unakata shingo, unakonyeza, unapigamiluzi na akisogea karibu unashika wowowo (a.k.a. zegembe) au hata chakulacha mtoto lakini bibiye waala hana tatizo. Wacha jamaa akajisafishe hukomahakamani akitoka salama ni ushahidi tosha kuwa huyo mke wake sio riziki.


 

Yule binti hana udogo hadi useme wa kubakwa binti anajua na kuvaa vimini na anatembea uchi leo useme a me Ba kwa? Flora aliweka mtego wakimaliza kubanjua adai kabakwa mbna huyo flora kabanduliwa na watu kibao akiwemo mzee wa hummer na emanuel akiwa anafahamu?mbna ema kavumilia yote hayo
 
Wewe Mankaa mbona hapo kwenye RED na BLUE panapingana???

Iwapo Flora ni ndugu yako basi wewe ndio mtu wa karibu wa kumpa ushauri kama ndugu yako ili kuepuka aibu mnayoipata kwenye ukoo wenu UKOO WA KULOLA....

RED anajielezea nafasi yake kwa flora BLUE anamzungumzia gwajima
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuangalia hii clip ya Fulo, nimekonfemu ni tabora rasa.
 
Tuiombee hiyo ndoa jamani. Gwajima ni masihi wa uongo aliyekuja kusambaratisha ndoa. Ndo dalili za mwisho wa dunia zimeanza kuonekana. Kwenye ndoa mkisharuhusu mtu kuingilia mambo yenu mjue hamtadumu. Ndoa ni taasisi nyeti. Gwajima mrudie mola baki na njia kuu
 
Mdudu aliyeingilia mapenzi ya mbasha na flora inawezeakana akafanana na mbu wa DENGUE kwa inashangaza kuona kwamba Flora ameshindwa hata kumuwekea dhamana x-mumewake!!, mpaka marafiki wakaamua kuchukua jukumu hilo. hata kama ni kuchokana sio kwa staili hiyo.
Nachotaka kujua kutokankwenu JF ni kuhusu umri wao kama unaweza kuwa nitatizo la wao kuchokana mapema hovyo, maana inaonyesha wamepishana mwaka mmoja tu.




 
Mi bado sijajua kwanini Flora anaishi mafichoni... Anamwogopa nani na kwanini?
 
siku zote wanavyosema wanawake tuna roho mbaya huwa natetea sana lakini kwa hili la flora mbasha limeniuma hiv kweli ???????najiuliza huyu frola siku anaolewa alipewa kitchen party?sendofff??jamani kule huwa wasisitiza kuwa na kufichiana siri,uvumilivu,kwa mume wako na hata ukishidwa kuna wasimamizi,wachungaji,wazazi nenda peleka tatizo utasaidiwa na hata hivyo unatakiwa uwe na kifua ,akili ya kupambana na tatizo!!!!!NDIO MAANA WANAUME SASA HIVI KUOA IMEKUWA NGUMU SANA TUTAISHIA TU KUZEWA,HAWANA HAKIKANA MWANAMKE,ww Frola umetupozea soko la kuolewa wenzio,
sina mengi ila EMMEUELI MBASHA KAMA KOSA HUKUTENDA MUNGU ATASIMAMA NA KUTETEA HAKI YAKO,ENDELEA KUMWAMIN MUNGU,MIMI BINAFSI NAKUOMBEA MAOMBI YANGU NDIO SILAHA KUU MUNGU ASIMAME NA WW
 
Flora Mbasha amechanganyikiwa na penzi jipya la mchungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…