siku zote wanavyosema wanawake tuna roho mbaya huwa natetea sana lakini kwa hili la flora mbasha limeniuma hiv kweli ???????najiuliza huyu frola siku anaolewa alipewa kitchen party?sendofff??jamani kule huwa wasisitiza kuwa na kufichiana siri,uvumilivu,kwa mume wako na hata ukishidwa kuna wasimamizi,wachungaji,wazazi nenda peleka tatizo utasaidiwa na hata hivyo unatakiwa uwe na kifua ,akili ya kupambana na tatizo!!!!!NDIO MAANA WANAUME SASA HIVI KUOA IMEKUWA NGUMU SANA TUTAISHIA TU KUZEWA,HAWANA HAKIKANA MWANAMKE,ww Frola umetupozea soko la kuolewa wenzio,
sina mengi ila EMMEUELI MBASHA KAMA KOSA HUKUTENDA MUNGU ATASIMAMA NA KUTETEA HAKI YAKO,ENDELEA KUMWAMIN MUNGU,MIMI BINAFSI NAKUOMBEA MAOMBI YANGU NDIO SILAHA KUU MUNGU ASIMAME NA WW