mtvbase
JF-Expert Member
- May 22, 2014
- 1,243
- 561
mwimbaji wa nyimbo za injili flora mbasha hivi karibuni alidai kwamba alivamiwa na watu wenye nia ya kumdhuru nyumbani kwake tabata.akaamua kuwapigia simu polisi na kweli polisi walikuja haraka ila walikuta wale vibaka wameshaondoka.kutokana na hilo tukio akaamua kuhama nyumbani kwake tabata na kwenda sehemu yenye usalama sababu alihofia wale vibaka watarudi tena.
Flora acha kutunga uongo,umeamua kuondoka nyumbani kwa sababu zifuatazo
1.kuendelea kukaa hotelini
2.hutaki kukutana na kuyamaliza na mbasha sababu ulijua akipata dhamana lazima atarudi nyumbani kwake tabata
3.nahisi kuna vitu ulienda kuchukua kama nguo,document za muhimu ambazo usingeweza kuchukua kama mbasha angekuwepo.