Emmanuel mbasha.
kula mama mkwe,kula hauzgel,kula shemeji,jirani,rafiki wa mke wake,sister,vijanafunzi vya primary,sekretari wake khaaa!! Ntajaza seva!!
Sheria ichukue njia yake
Ndugu vip..
Una-quote story nzima halafu unaandika just TW0 WORDS. Kwanini usingepunguza hy quote, unachosha wasomaji. Kuwa mstaarabu kdg.
Dada, ubaya hauna dini, ubaya hauna kabila, tena ubaya hauna jinsia; hukumbuki sakata la 'mtoto wa boksi' linaloendelea sasa? Aliyefanya hilo ni jinsia gani?
uliambiwa usome yote? Kama uliisoma mwanzo ulikuwa na haja gani kuisoma yote? Wewe ndio mstaarab kwa kushauri pumba.
Dah kama ni kacheza chachandu sio kalienda kumharibia ndoa mwenzie haka? Akiwa hayupo kalifata nini? Mungu amsaidie Flora ni majaribu!
myself nimewaza hivyo.. ila mbona mkewe mrembo sana?
acha ujinga unapoambiwa kosa usahishe na ukubali.
Wenye simu wanapata shida ku scrow down
Huyo ni Flora Mbasha na mumewe
Kwa mujibu wa mtoa mada inaonekana jamaa amemtafuna mdogo wa mkewe!
TETESI: kuna mahala nimeona sasa hivi kuwa kuna msemaji wa familia ya Flora Mbasha kazungumza na redio 1 sterio mchana huu na kukanusha habari hii; kwa kueleza kuwa ni mpango ulisukwa kuwachafua.
KAMA KUNA ALIYESIKIA ATUJUZE jamani.