Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Huyo ndiyo mwanamume, Maslahi mbele; hapendwi mtu! Hataki kuendelea kutafuna muwa uliomaliza utamu, lazima makapi tupu yatemwe! Anafuata greener pastures, hiyo ndiyo hulka ya kike. Poleni wanaume


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Usisikitike sana. Uhusiano wa ndoa ni kama muziki wa taratibu (blues) ambapo wachezaji wawili hupata fursa pana ya kosomana nyendo na kuwianisha hatua za densi. Usimlaumu mmoja wao tu; vuta subira, ukweli wa yote utajitokeza. Kikubwa zaidi ni kwamba, kama msingi wa ndoa haukujengwa kwa dhati ndani ya nafsi zote mbili na hakuna juhudi zozote, visingizio vya kufarakana ni tele na viko mlangoni siku zote vikisubiri busara ionyeshe dalili za kutoka tu ili vipigane kumbo kuingia.
 
Huyu Flora Mbasha naona ameshakuwa super star, kila mtu anamfungulia uzi. Sasa hapa kitu gani kinajadiliwa? Nadhani kesho tutaona uzi Flora sema ukweli, kwa nini unaenda sokoni
 
Story ya hawa watu inaniumiza sana na inaniumiza zaidi pale ninapoona viongozi wa dini hasa wale wanaowatumia kwenye ibada zao wakishindwa kabisa kusuhulisha. Kweli ninaumia sana sana.....MUNGU awasaidie warudiane na wajenge familia Yao.

...bado iko hot sana hii kitu,alafu imekaa vibaya na inapolitics na sintofahamu kubwa sana,so watumishi wakiingia kichwakichwa itawaharibia na pia inawezekana hawajaombwa wameacha sheria ifanyekazi yake...
 
Ukiwachukia inakusaidia nini?
Endelea kuwachukia sana utaongezeka urefu
mwache atuchukie tu wala hatutoki vidonda.kwanza hii habar inayovumishwa hakuna mwenye uhakika kama ni kweli. ukweli wanaujua wao wawili sisi tutajudge na kutenda dhambi bure tu.
 
Ngoja nimuambie paw tuhamie hotelini, huku kwa mtogole vibaka kila siku. Mara waibe ndala, mara madumu ya maji! Woooi!
 
mwache atuchukie tu wala hatutoki vidonda.kwanza hii habar inayovumishwa hakuna mwenye uhakika kama ni kweli. ukweli wanaujua wao wawili sisi tutajudge na kutenda dhambi bure tu.

Habari za asubuhi mama DEMBA?Kuna mambo mengi yamefichika lakini ukiunganisha dots,lawama zinamwendea #Frola !

Mama ukigombana na bamkubwa Kaizer,unakimbilia kuishi hotelini?Ina maana wazazi wa pande zote hawapo?Wasimamizi wenu wa ndoa hawapo?Hapo kuna maswali!!

Kwa nini sakata lilipoibuka,kitu cha kwanza ilikuwa ni waandishi wa habari,ndio watu waongozane polisi na waandishi wa habari?Hapa inaonekana kuna kitu kilikuwa kinatafutwa!Wewe umebakwa,unakumbuka kutafuta namba ya simu ya Mwananchi media uwapigie?!!

Maelezo ya kwanza polisi ni kwamba alimbaka shemeji yake mara tatu,,baadaye mashtaka yamegeuka na kuwa alimbaka pia na mfanyakazi wao wa ndani?Hivi hapa hatuwezi kuona kama kuna kitu cha ziada kinatafutwa?Mtu afanywe Babu Seya na maisha yaende??

Binafsi ninamwamini Mungu,kama kweli #Frola yuko nyuma ya mpango huu ili apate nafasi ya kwenda zake Uk na kuendelea kula raha na mwenye hela zake(mchungaji),,atapata thawabu yake!

Na huyo mchungaji kama ni kweli,anajifanya mfalme Daudi,unampanga jamaa mstari wa mbele wa vita ili apoteze maisha upate nafasi ya kutanua na mkewe,utapata thawabu yako!
 
Last edited by a moderator:

halafu eti mara ya tatu alimbaka ndani ya gari? hawa wanafikiri kubaka rahisi...
 
Last edited by a moderator:

Na hakika anajuankilichompata Daudi baada ya kumtoa kafara yule askari wake?

Haya makanisa mengine sheeda tupu hakuna utaratibu au huo ndio utaratibu....
 
Last edited by a moderator:
Na hakika anajuankilichompata Daudi baada ya kumtoa kafara yule askari wake?

Haya makanisa mengine sheeda tupu hakuna utaratibu au huo ndio utaratibu....

Ndio utaratibu bamkubwa Kaizer,,huyu ni mtu maarufu na ndio maana tumesikia,wale kajamba nani anasikia kilio chao?!.Kweli mbinguni ni mbali sana!
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa na pesa ningemsaidia emanuel kwa hali yyte ashinde hii kesi, lakin sina jinsi Mungu ni zaidi ya pesa acha Mungu asimame yeye!
 
mwanangu unabusara sana. kama ni kweli bas mungu amsimamie ima
 
Last edited by a moderator:
mwanamke ambaye kashindwa kumaliza matatizo ya ndoa anayapeleka global publishers siwezi nikakaa nikamsikiliza, wasikilizaji wa nyimbo zake sijui wanapata mafundisho gani ka mwalimu wao ndio ovyo hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…