na yule msafi awe wa kwanza kumpiga mawe mbasha.
Unavyompamba utadhani hajazini nje ya ndoa na hajabaka!
Bint aliyebakwa ni huyu, sio yule wa Ngasa, huyu ni mtoto ambaye Mama yake Flora alimchukua kutoka ktk vituo vya mayatima tangu yupo mtoto.
Ana kesi ya kubaka watu wawili...wa pili ni yupi?
Kuzini amezini ila hajabaka
Mkuu wangu, labda hoja yako ijikite kwenye jambo lingine lakini sio suala la umri!!! Effect ya umri inakuwa tu kwenye hukumu... kama ni kifungo cha maisha au miaka 30 lakini suala la ubakaji litabaki pale pale hata kama muhusika ni changudoa lililoshinikana na lenye sifa ya kupigwa mtungo na wanaume idadi yoyote... linapokuja suala la ubakaji, yote hayo hayaangaliwi... kinachoangaliwa ni ikiwa muhusika alitoa unyumba kwa ridhaa yake au pasi na ridhaa yake!Ikiwa mnataka umri kiwe ndo kigezo, basi ni kama mnakiri kwamba Mbasha kagonga yule binti lakini kv sio underage basi haiwezi kuwa ubakaji! Na ajabu, hata Mbasha mwenyewe akinukuliwa na gazeti moja, nae amesema si kweli kwamba yule binti ana miaka 17 bali ana miaka 19!! Hapa panapaswa kutolewa hoja mzito kuonesha kwamba hakumbaka lakini suala la umri au uchezaji wa XX haziwezi kuwa hoja zenye mashiko!! Narudia, tukijikita kwenye umri ni sawa na kusema ni kweli Mbasha amepiga yule binti lakini kv ni 18+ huo sio ubakaji... so, can he prove kwamba walitafunana kwa mahaba ya dhati? Means, if they were lovers, labda kuna msg za mapenzi kati yao... au labda wameshapata kukutana kwenye Guest House hii au ile kwa maana, it doesn't make any sense mtu anayelazimishwa afunge safari hadi Guest HOuse!!
Ana kesi ya kubaka shemeji na House girl
Ana kesi ya kubaka shemeji na House girl
Unavyompamba utadhani hajazini nje ya ndoa na hajabaka!
na yule msafi awe wa kwanza kumpiga mawe mbasha.
Ni post pekee ninayokubaliana nayo juu ya sakata hili ,zinginezo ni ngonjera tu!Mkuu wangu, labda hoja yako ijikite kwenye jambo lingine lakini sio suala la umri!!! Effect ya umri inakuwa tu kwenye hukumu... kama ni kifungo cha maisha au miaka 30 lakini suala la ubakaji litabaki pale pale hata kama muhusika ni changudoa lililoshinikana na lenye sifa ya kupigwa mtungo na wanaume idadi yoyote... linapokuja suala la ubakaji, yote hayo hayaangaliwi... kinachoangaliwa ni ikiwa muhusika alitoa unyumba kwa ridhaa yake au pasi na ridhaa yake!Ikiwa mnataka umri kiwe ndo kigezo, basi ni kama mnakiri kwamba Mbasha kagonga yule binti lakini kv sio underage basi haiwezi kuwa ubakaji! Na ajabu, hata Mbasha mwenyewe akinukuliwa na gazeti moja, nae amesema si kweli kwamba yule binti ana miaka 17 bali ana miaka 19!! Hapa panapaswa kutolewa hoja mzito kuonesha kwamba hakumbaka lakini suala la umri au uchezaji wa XX haziwezi kuwa hoja zenye mashiko!! Narudia, tukijikita kwenye umri ni sawa na kusema ni kweli Mbasha amepiga yule binti lakini kv ni 18+ huo sio ubakaji... so, can he prove kwamba walitafunana kwa mahaba ya dhati? Means, if they were lovers, labda kuna msg za mapenzi kati yao... au labda wameshapata kukutana kwenye Guest House hii au ile kwa maana, it doesn't make any sense mtu anayelazimishwa afunge safari hadi Guest HOuse!!
Unavyompamba utadhani hajazini nje ya ndoa na hajabaka!
Mi namturst Heaven on Earth tu basi. Mia
My question is: Kwanini tunadhani Emmanuel Mbasha hawezi kubaka!? Kwa sababu, ikiwa wote sisi sio Mbasha na wala sio huyo msichana inayesemekana amebaka, basi pale tunaposema kwa kujiamini kabisa kwamba hajabaka is the same as saying the guy hawezi kubaka!!! Sasa hapa ndipo ninapojikita mimi... Why do we think kwamba hawezi kubaka? Hivi tu zile kauli kwamba Flora anatembea na Gwajima na maelezo tosha kuona kwamba amekuwa framed?you are also wrong!!
unaweza kubaka hata mwenye miaka 50 mkuu, kama hajatoa nanilii kwa ridhaa yake, at times unaweza kubaka hata mkeo!! na ikawa kesi
swala ni kuwa hii ni make up story, hilo tu
Ana kesi ya kubaka watu wawili...wa pili ni yupi?
Bint aliyebakwa ni huyu, sio yule wa Ngasa, huyu ni mtoto ambaye Mama yake Flora alimchukua kutoka ktk vituo vya mayatima tangu yupo mtoto.