Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Unavyompamba utadhani hajazini nje ya ndoa na hajabaka!

Tumia akili. Ya kuambiwa changanya na yako.Hivi mtu anaweza akubake ijumaa na jumapili ukubali kutoka naye halafu akubake tena! Hiyo kama ni kubaka basi mchango wako kwenye ubakaji ni mkubwa kuliko mbakaji mwenyewe.
 
mbasha3.PNG
Bint aliyebakwa ni huyu, sio yule wa Ngasa, huyu ni mtoto ambaye Mama yake Flora alimchukua kutoka ktk vituo vya mayatima tangu yupo mtoto.

Ana kesi ya kubaka watu wawili...wa pili ni yupi?
 
Mkuu wangu, labda hoja yako ijikite kwenye jambo lingine lakini sio suala la umri!!! Effect ya umri inakuwa tu kwenye hukumu... kama ni kifungo cha maisha au miaka 30 lakini suala la ubakaji litabaki pale pale hata kama muhusika ni changudoa lililoshinikana na lenye sifa ya kupigwa mtungo na wanaume idadi yoyote... linapokuja suala la ubakaji, yote hayo hayaangaliwi... kinachoangaliwa ni ikiwa muhusika alitoa unyumba kwa ridhaa yake au pasi na ridhaa yake!Ikiwa mnataka umri kiwe ndo kigezo, basi ni kama mnakiri kwamba Mbasha kagonga yule binti lakini kv sio underage basi haiwezi kuwa ubakaji! Na ajabu, hata Mbasha mwenyewe akinukuliwa na gazeti moja, nae amesema si kweli kwamba yule binti ana miaka 17 bali ana miaka 19!! Hapa panapaswa kutolewa hoja mzito kuonesha kwamba hakumbaka lakini suala la umri au uchezaji wa XX haziwezi kuwa hoja zenye mashiko!! Narudia, tukijikita kwenye umri ni sawa na kusema ni kweli Mbasha amepiga yule binti lakini kv ni 18+ huo sio ubakaji... so, can he prove kwamba walitafunana kwa mahaba ya dhati? Means, if they were lovers, labda kuna msg za mapenzi kati yao... au labda wameshapata kukutana kwenye Guest House hii au ile kwa maana, it doesn't make any sense mtu anayelazimishwa afunge safari hadi Guest HOuse!!

you are also wrong!!

unaweza kubaka hata mwenye miaka 50 mkuu, kama hajatoa nanilii kwa ridhaa yake, at times unaweza kubaka hata mkeo!! na ikawa kesi

swala ni kuwa hii ni make up story, hilo tu
 
Naonga mkono hoja- its time to move on. Duniani kuna dhiki nyingi sana, alisema Bwana Yesu!
 
Ni post pekee ninayokubaliana nayo juu ya sakata hili ,zinginezo ni ngonjera tu!
 
Unavyompamba utadhani hajazini nje ya ndoa na hajabaka!

Una uhakika kabaka au unajisemeza tu hapa...!!!! Unajua FLORA Mbasha alipokuwa chuoni Uingereza miaka miwili HUYO binti alikuwa anazini na MBASHA!!! Aliporudi Frola akamaindi akaita kikao cha familia kulalamika... akijua siri zake hazijulikani Tanzania....alichojibiwa alinyanyuka na kuondoka .."MBONA WEWE UNATEMBEA NA MCHUNGAJI MIAKA YOTE HII SIJALALAMIKA POPOTE".... mchungaji akawaita kusululisha akichojibiwa mchungaji ....mara kesi hiyooooo......
 
Yaani hii Stori Majibu A na B yote sawa tu maana hata hujui nani Mkweli wote Mr and Mrs wamavimacho vya Kisanii sana
 
you are also wrong!!

unaweza kubaka hata mwenye miaka 50 mkuu, kama hajatoa nanilii kwa ridhaa yake, at times unaweza kubaka hata mkeo!! na ikawa kesi

swala ni kuwa hii ni make up story, hilo tu
My question is: Kwanini tunadhani Emmanuel Mbasha hawezi kubaka!? Kwa sababu, ikiwa wote sisi sio Mbasha na wala sio huyo msichana inayesemekana amebaka, basi pale tunaposema kwa kujiamini kabisa kwamba hajabaka is the same as saying the guy hawezi kubaka!!! Sasa hapa ndipo ninapojikita mimi... Why do we think kwamba hawezi kubaka? Hivi tu zile kauli kwamba Flora anatembea na Gwajima na maelezo tosha kuona kwamba amekuwa framed?
 
Maudhui ninayoyapata hapa hasa kutoka kwa wamama (dada) ni kuwa Flora alitakiwa kuyamaliza haya mambo kimyakimya kifamilia huko nyumbani kwake suala ambalo linaeleweka ikiwa matatizo ni ya kutofautiana kwa kawaida. Vipi ikiwa kweli jamaa alibaka huyo binti a.k.a limama lizima (hapa sisemi kuwa ni mbakaji mpaka itakapothibitishwa na mahakama) je msimamo wa kuyamaliza kimyakimya kifamilia unabaki palepale?
 
Back
Top Bottom