majaribu hayana budi kuja, na kila jaribu lina njia ya kutokea...
Ila daaa, ngumu kumeza kweli.
Wako wapi kinamama waombolezaji waombee familia na ndoa za sasa. Mitihani mingine mmmmmmmmm
Mara 3 amebakwa......na siku tofauti.
Wewe na wewe usijiite mujuaji, Niwemugizi anauliza kwa nini umeamua kumtaja Flora Mbasha na si Christina Shuso maana wote ni waimbaji wa nyimbo za injili na wote wameolewa na zaidi wote wanakaa Tabata.Nasema hivo kwa sababu hakuna sehemu wandishi ameadentify kuwa mume na mke wote ni waimbaji maarufu.Kama angesema hivyo basi moja kwa moja ningeungana na wewe bila kukupinga.So fafanua kwa nini umemsema Flora Mbasha na si Christina Shusho?soma heading ya gazeti mwananchi- imeandikwa Mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye. huelewi nini hapo sasa.??????
shusho anaishi tabata chang'ombe na
mbasha anaishi tabata kimanga
ambapo ndo pamezungumzwa. acha
kudandia train kwa mbele
KITAIFA
Mume wa mwimbaji wa Injili
adaiwa kumbaka shemejiye
Posted 11 hours ago
>Mume wa mwimbaji maarufu wa
nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi
kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka
shemeji yake mdogo (17)....
link. Mwananchi: mwanzo - Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza
habari/Kitaifa/Mume-wa-mwimbaji-
wa-Injili-adaiwa-kumbaka-
shemejiye/-/1597296/2328802/-/
imd7fy/-/index.html
Jamii forum Namba nyingine kabisa, we acha tu!
Lakini hivi vibinti vina tabia ya kutega watu. Labda ktk hili kila mmoja alikuwa na malengo yake, mmoja malengo yametimia mwingine kawa - "disappointed" na hivyo kuipeleka "issue" kwa wanaa.
Hiyo comment haina uhusiano na hii stori...Utamu wa yesu.......
Jina limehifadhiwa. Well, lets do Sherlock Holmes here: mume na mke ni waimba injili+wanakaa tabata kimanga+wana uhusiano na mchungaji gwajima=Huyu ni F.M,yule ambaye mdogo wake alicheza video ya chachandu na M .Ngasa(video ilipata wekwa humu jf). Sasa sijui mdogo wake huyu ni yule au huyu ni mwingine!
Wewe na wewe usijiite mujuaji, Niwemugizi anauliza kwa nini umeamua kumtaja Flora Mbasha na si Christina Shuso maana wote ni waimbaji wa nyimbo za injili na wote wameolewa na zaidi wote wanakaa Tabata.Nasema hivo kwa sababu hakuna sehemu wandishi ameadentify kuwa mume na mke wote ni waimbaji maarufu.Kama angesema hivyo basi moja kwa moja ningeungana na wewe bila kukupinga.So fafanua kwa nini umemsema Flora Mbasha na si Christina Shusho?
Rudia thread utaona inasema mwimbaji huyo maarufu anakaa Tabata Kimanga. Christina Shusho hakai tabata kimanga anakaa Tabata Chan'gombe,bali Flora Mbasha na mumewe ndio wanakaa Tabata Kimanga. Unganisha dots.
Mwimbaji aliona ujinga kila siku anaendesha DCM imechakaa gea haziingii halafu linazimazima wakati kuna HIACE haijaguswa. akaona ngoja leo nitoke na hiace ki wizi wizi. Mara kanogewa na hiace. Full AC. automatic gear. break inakamata. spring na bush zote ziko intact. matairi mapya. akaona isiwe tabu. Kumbe hiace haipendi dereva aliyezoea MI KWECHE DCM ZA MBAGALA.