Majaribu hasa yaani kuomba tu.
majaribu hayana budi kuja, na kila jaribu lina njia ya kutokea...
Ila daaa, ngumu kumeza kweli.
Wako wapi kinamama waombolezaji waombee familia na ndoa za sasa. Mitihani mingine mmmmmmmmm