King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hii family imekaa kwa muda mrefu katika mfarakano.
You never knowa what really happen inside the house, ukweli wao watatu ndiyo wanaujua.
Alinyimwa unyumba na ilikuwa lazima achepuke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii family imekaa kwa muda mrefu katika mfarakano.
You never knowa what really happen inside the house, ukweli wao watatu ndiyo wanaujua.
wewe ni nani hadi tuamini huu UTUMBO WAKO,,
Na huu pia ni uzushi.
Naona furaha yako ulipenda sana iwe Kweli. Maelfu ya watu waliokuwepo wote hutaki tu kuamini una matatizo Sasa
Ungependa sana IWe Kweli eee..! Akamatwe, atupwe lupango..! Ha ha haaa!! Leo ntainjoi Misukule kibao humu..! Ngojea nitafute desktop niupload video Yao Leo Nikate utumbo na ubishi wa misukule inayoshadidia Ishu Za chupini..!Angekamatwa ndiyo ukweli ungejulikana haraka.Si hivi ilivyo sasa
Sio Yake Wewe.. Yaani Kichwa yako inakuwa nzito kuamini kila sauti??!??. Acha uzembe banaDuhhh!! ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.
kuna clip mi ninayo ambayo haijulikani source inasikika sauti ya Emmanuel Mbasha akiomba msamaha kwa shemeji yake.