Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

Story inaendelea kma ifuatavyoMoses Kulola ni mchungaji wa kwanza wa kilokole Tanzania
Iko hivi wakuu..
1. Kisa cha mbasha “kubaka" (Sitatoa kila detail ili kulinda identity
yangu)

Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu
Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo...

pale kanisani kwake wanavitengo mbali mbali amabvyo wenyewe
wanaviita ‘ministries' na katika ministry hizo zipo mbili ambazo ni
muhimu zaidi i) Media ministry ii)

Security ministry (hii huwa wanaiita ‘mashujaa' wa Daudi)...

Media - Ministry kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na
kwenye vyombo vya habari, kueneza
‘propaganda' ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.

Security Ministry - kazi yao ni kumlinda Gwajima.! Kama umewahi kufika pale kanisani utakuwa
umewahi kuwaona huwa wanavaa suti nyeusi na miwani nyeusi (kama secret service wa marekani).. wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini..

Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama “USALAMA WA TAIFA"
wa kanisa la Gwajima..

Turudi kwenye topic sasa....

Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana
mahusiano ya kimapenzi na shemeji
yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah..
kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wa karibu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!

Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda
kumuhoji Mr.

Unaambiwa jamaa
aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na
shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona
hata yeye anafahamu kuwa florah ana mahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote!

Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!!

Unaambiwa flaorah
hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...


Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..

KESI YA KUBAKA
baada ya mrafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa kati alikuwa hakai nyumbni kwa florah.. lakini inavyoonekana mchungaji alitishwa sana na mkwara wa jamaa kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe... binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya ‘operation tokomeza'!!

Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa florah akijua wazi kabisa dada take hayupo! Na kama ujuavyo muonja asali aonji Mara moja, jamaa kuona mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie enzi!

Sitaki kumaliza huondo wote lakini tujiulize maswali haya!!!

1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi?

Ni ijumaa mko nyumbani peke mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori ‘mizuka inapanda mnaamua kuibanjua amri ya sita! Kesho yake jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapole tu, mnavunga mnaitana shemeji! Alafu kesho kesho yake jpili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili!

Mnafika mahali fulani ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua amri ya sita! Mnatoka hapo mnaenda kanisani mnatabasamu kabisa ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu! Mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnabanjuka! Halafu eti
amebakwa???????

Swali la pili la kilujiuliza!
Kwanini huyu binti baada ya tukio kutokea akawapigia simu bodyguards wa Gwajima ambao walienda kumchukua na kurudi nae nyumbani kwa gwajima??? Alafu eti hawa bodyguards ndio wanaanza kuwapa taarifa ndugu za florah!!

Kwanini apige simu kule??

Kwanini hakuwapigia simu ndugu zake kwanza?????,anapotezwa huyu!

Nimesend kama nilivyo receive


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
The bold kafanyaje tena maana hata sielewi!
The bold hatujui nini kumempata na jana alikuwa anasema anatishiwa sana baada ya kuweka

zile habari za mzee wa hummer...., na mmoja wapo wa watoa vitisho ni matumbo eti alikwambia

hafiiki keshokutwa kwa hizo habari anazozitoa..... so hatujui usalama wake uko vipi
 
Last edited by a moderator:
hapa kumbe kuna mambo mengi nyuma ya pazia ambayo sisi tunaoskia kwenye media hatuyajui
 
Huyu Mbasha naona kama wamembambikia kesi tu, haiwezekani mtu ambake msichana ijumaa halafu sijui kesho yake akarudia tena halafu akambaka tena kwenye gari? binti unaishinae unaweza kwenda kumbaka kwenye gari? Kwenye gari aliingiaje wakati anajua shemeji yake ni mbakaji? mimi naona huyo binti katoa mzigo yeye mwenyewe wala hajabakwa. Hii ni muvi script yake ni ideas kama za producer Kova.
 
Nawakumbuka sana wawili hawa! Walipokuja St.John university Dodoma wakiwa na kina masaja walituburudisha ile mbaya kwa nyimbo na uimbaji wao zaidi mbasha na flora walionekana kuwa na UPENDO WA DHATI..!
Leo tena haya..? Ndoa kwer ni kuvumiliana.
 
Haaaaaaa kweli hapa kuna jambo isee mchungaji gwajima una trick za kitoto sana ibu yako na waumini wako.
 
Ni kwanini Flora anangangania mme wake aende polisi?

Polisi si ndio njia ya kuendea magereza na ndiko walikotega mitego yao. Au kimjini tunasema "gusa unase" jamaa akigusa tu polisi imekula kwake hela ya Sembe ya Gwajima inaongea
 
Hii theory kidogo imenielewesha na kunipa mwanga...ila huyu gwajima atakuja kufanyiwa kitu kibaya sana....
 
Nisije nikasutwa sijasema uhusiano wa kimapenzi...

Uhusiano ni Gwajima kumhamishia Flora GEST, kumpa cheo kikubwa kanisani, kumpeleka chuoni Uingereza na kumtembelea mara kwa mara, kuzunguka naye kwenye mikutano nchi nzima. Yote hayo AMESAIDIA huku mumewe Flora amebaki nyumbani.

nimekusoma mku na kama ni hivyo ngwajima anahusika kwa mazigira hayo jamaa lazima ana......do!
 
kazi haziendi hapa............ nashika mafile kidogo the huyo nazama ndani

nikimuona The bold ndio roho yangu itatulia sa hivi hapana

Umeona eeh...hii inadhihirisha ni kiasi gani hii habari Ina ukweli wa hali ya juu ndani yake ndio maana wamemtisha Sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom